Nataka kufungua" Timber yard" msaada jinsi ya kuanza

Kwa kuwa uko Manyoni bi bora ungeenda Ofisi za Wakala wa misitu wilayani utapata ufafanuzi zaidi.

Lakini kibali kimojawapo ni leseni ya yard ya mazao ya misitu inayotolewa na TFS ambayo unailipia 260,000/=
 
Hiyo ni kwa mwaka moja?

Na je mtaji wa biashara unaanza na Kiasi gani kitafaa?
 
Back
Top Bottom