Wazo la biashara kwa vijiji vya mbali

Jembebutu

Member
Feb 14, 2017
88
225
Nmekaa kutafakari maisha, nikapata wazo la kufanya biashara kwenye vijiji vya mbali sana. Vijiji vinavyofikika kwa ugumu na vyenye ufinyu wa huduma. Vijiji ambavyo hata huduma ya mawasiliano isipokuwepo ni poa tu.

Unakifahamu kipi?
 
Unataka kupeleka huduma gani!?

Itakuwa na njia mbadala ya malipo!?

Kama sio unategemea kujilindaje unapopokea fedha zako!?

Huko mbali unataraji kupeleka wewe tu huduma na bidhaa!? Au Unapanga kupata huduma na bidhaa kutoka huko kwa ajili ya masoko ya mijini!?
 
Unatakiwa kujua kuwa, sehemu ambayo haifikiki kwa urahisi,ghalama za usafirishaji zitakuwa juu pia, uangalie hiyo bidhaa utaiuzaje huko na je watawezanunua, ila njia rahisikiasi labda ulenge kwenye minada ila ukisema utafute site itakuwa ngum maana nyumba nyingi za vijijini zimetengana sana kwa mtazamo wangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom