Nikikupatia laki 5 utanipa kiasi gani kila week kama faida ?

Oct 1, 2020
14
19
Habari wanaJF

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba Kwa aliye seriousy na muaminifu nikikupatia laki 5 utafanyia biashara gani? Na utanipatia kiasi gani kama faida kila week? Uwe tayari kunionesha wapi unaishi? Kitambulisho cha taifa mdhamini ,

Ufanye biashara faida upatayo unipe % ukishindwa biashara huko mbeleni utoe taarifa na urudishe msingi we niambie biashara gani utaweza fanya Kwa pesa hiyo ya kawaida na unahisi utaingiza kiasi gani Kwa wiki na %ngap utanilipa

Nawasilisha
 
520/=
Kama itakufaa nenda Banks tofauti ufanye research ulizia fixed account weka pesa zako....

Ile after inflation usishangae kila faida utakayokuwa unapata by the time umepata buying power yake itakuwa imepungua
 
Habari wanaJF

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba Kwa aliye seriousy na muaminifu nikikipatia lak 5 utafanyia biashara gani? Na utanipatia kiasi gani kama faida kila week? Uwe tayar kunionesha wapi unaishi? Kitambulisho cha taifa mdhamini ,

Nawasilisha
Laki tano? Hiyo sio ya kumkopesha mtu. Hiyo ni kumsaidia akafanye mishe, akifanikiwa akurudishie
 
Habari wanaJF

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba Kwa aliye seriousy na muaminifu nikikipatia lak 5 utafanyia biashara gani? Na utanipatia kiasi gani kama faida kila week? Uwe tayar kunionesha wapi unaishi? Kitambulisho cha taifa mdhamini ,

Ufanye biashara faida upatayo unipe % ukishindwa biashara huko mbeleni utoe taarifa na urudishe msingi we niambie biashara gani utaweza fanya Kwa pesa hiyo ya kawaida na unahisi utaingiza kiasi gani Kwa wiki na %ngap utanilipa

Nawasilisha
Comment zinaridhisha Ila Kuna wadau wamezama PM na madau kuliko ya hapo kwenye thrend nna mashaka hapa nimebaki na mtihani nani mkweli nani sio mkweli

Nitafanya pata potea maana hii kama Kamali sasa nikiliwa mtanichimbia kaburi, ushauri niscreenshot niwapost walonifata PM au ni deal na hawa wa hapa public? Kuna mtu kasema hiyo hela ndogo ndiyo uwezo wangu najaribu kuizalisha na Ndoto yangu kufanya hivi kama nitakua napata watu waamifu itakua great for both of us kama ntakutana na wazee wa Jiji Alhamdulillah,

Watanzania wengi wana Idea na uwezo wa kufanya biashara Ila mitaji hawana mi sio tajir Ila natamani nimuwezeshe kila mtu ili tu kupunguza makali ya maisha

Mtu asiniambie vip kuhusu family yako, hawako vizuri na wala hawako vibaya

PS: Kuna mtu kaniuliza ID yako mpya unawezaje kutoa laki 5? Sijaomba hela nimeomba kutoa ili tunufaike sasa hapo mfano nani aaminiwe nani asiaminiwe...!? Sijaomba najitolea
 
Habari wanaJF

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba Kwa aliye seriousy na muaminifu nikikipatia lak 5 utafanyia biashara gani? Na utanipatia kiasi gani kama faida kila week? Uwe tayar kunionesha wapi unaishi? Kitambulisho cha taifa mdhamini ,

Ufanye biashara faida upatayo unipe % ukishindwa biashara huko mbeleni utoe taarifa na urudishe msingi we niambie biashara gani utaweza fanya Kwa pesa hiyo ya kawaida na unahisi utaingiza kiasi gani Kwa wiki na %ngap utanilipa

Nawasilisha
Kila wiki ntakupa36000ambayo nisawa na6000.ndani yasku sita sku moja yamapumziko.Biashara nitakayo ifanya nikutoa huduma yachakula mitaani mfano kwenye mageleji,maduka yawatu wamjini....nk.Nategemea faida ya20000 kwasiku.Toa Elfu6 yakwako,baki14000,Elfu8 yawasaidizi wangu nabaki na6000,inatosha.kwamwezi ntakuwa nmekupa144000.ivyo sijajua unaitaji faida kwamiezi mingap ila Kama nkwamiezi5 Apo sawa.ntakuwa nmeludsha pesa yako yote nafaida Kama yalaki2 iv
 
Back
Top Bottom