Kamwe usikate tamaa katika maisha yako

Tumekuwa watu wa kukata tamaa kwa haraka sana.
Kitu kidogo mtu akijaribu kufanya, akikutana na changamoto leo na kesho anakataa tamaa bila kujiongeza....
Nakushauri usome kidogo hapa Don’t Give Up
Ili upate uamsho na moyo wa kutokata tamaa kwa haraka.
Tupo pamoja
Tushike lipi sasa jamani nyie walimwengu mboni mnatuchanganya? ukifanya kazi sana ili upate sana utasikia

''acha tamaa ridhika na unachopata''

pesa zoote hizo bado anataka zangu!

'' huyu nae haridhiki?. mara utasikia

''Tamaa mbaya"" au

'' Tamaa mbele mauti nyuma!!

Tamaa ilimponza fisi. unalinganishwa na mnyama hayawani. yaani majina mabaya mabaya km hayo!!

Ukisoma saana ''utasikia umetumwa na kijiji.

Wewe unakuja na slogan za ''Usikate tamaa''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom