😁😁😁Kwanza hakikisha unafuga mzuzu au uwe unavaa vile visuruali vifupi hapo connection utapata fasta tu.
Naongea kama mlevi fulani hivi lakini ndio imeisha hivyo.
Jiwe la gizani ukisikia maweee huyo limempata,sometimes mtu anakuja na kitu cha muhimu halafu anakutana na wachangiaji wapumbavu kama akina LOVE U JF , mng'ato , Chaukarange n.k
Kuna ukweli?Kwanza hakikisha unafuga mzuzu au uwe unavaa vile visuruali vifupi hapo connection utapata fasta tu.
Naongea kama mlevi fulani hivi lakini ndio imeisha hivyo.
Una usafiriWadau nilikuwa naomba mwenye ufahamu wa namna gani ya kupata uwakala wa vinywaji vya Azam.
Utaratibu na hatua za kufata mana mimi nipo mkoa nataka nianze hiyo biashara na kuwasambazia wafanyabiashara wadogowadogo na wenye maduka.
Una usafiri
[emoji23][emoji23]Kwanza hakikisha unafuga mzuzu au uwe unavaa vile visuruali vifupi hapo connection utapata fasta tu.
Naongea kama mlevi fulani hivi lakini ndio imeisha hivyo.
Simple sana.
Njoo ofsin kwao mtafanya mahojiano watakuuliza baadhi ya maswali kama mkoa/eneo unalofanyia kazi, kiwango cha mtaji, vibali husika ( lesseni au Tin) , aina ya bidhaa unayohitaji uwakala, uzoefu na watakufatilia kujiridhisha kisha watakupangia bidhaa watakazokupa uwakala (Azam wana bidhaa nyingi) kisha mtaingia mkataba.
Usipoteze muda kuwauliza watu wasio husika watakukatisha tamaa. Fika ofsin kutana na meneja masoko.
Sasa hivi biashara ni ngumu ko kila kampuni wanatafuta branches ili kuongeza mzunguko ko ujio wako hata wao wananufaika. Chamsingi uwe sirious na sio mipango ya kwenye daftari tu na kutusumbua kumbe ndo kwanza unasubiri baba afe mgawane mirathi ndo upate mtaji.
Sometimes watu wanaongea upumbavu. Ila ukiutafakari utagundua kuna ukweli ndani yake. Hii ishu juu juu kama ipo realSometimes mtu anakuja na kitu cha muhimu halafu anakutana na wachangiaji wapumbavu kama akina LOVE U JF , mng'ato , Chaukarange n.k
Nimependa sana comment yako. Big up sana mkuuKwani kuwa wakala wao hawana sifa na vigezo ambavyo vipo openly?yani labda mtaji kiasi fulani,eneo ambalo lina muingiliano(busy)...sitaki kuamini kama kweli imani ndio msingi labda kama wanatoa product zao bure kama sadaka,ila nashauri tusiwe wepesi kuyaongelea tusiyoyajua..sababu mm ni mtazamaji mzuri wa taarifa za habari za azam (utv)na mara nyingi nawaona wale wasoma taarifa ni wa imani tofauti ...
Labda tafuta mawasiliano yao hata kule kwenye matangazo ya tv zao huwa kuna namba wanawekaga hao watu wa masoko wapigie naamini watakuelekeza cha kufanya..kila la kheri mkuu