Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hi JF Naomba kufahamu utaratibu unaotumika kutengenezewa home postal address kwa Tanzania
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Kama umeshausoma mchezo wa biashara maeneo ya vyuo, basi uzi huu mfupi wenye madini hautakuwa mgeni kwako. U hali gani mwana jamvi? Mimi mzima kabisaaa, lengo langu ni kujulishana fursa za...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Falsafa ya biashara ni nini? Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Vipi huyu Broker kwa wale waliomtumia na wanaomtumia vipi kuhusu deposit na withdraw method zake? Vipi spread zake zinabadilika badilika au ni muaminifu? Naombeni moja, mbili tatu kuhusu huyu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari JF Naomba kufahamu kuhusu makato ya kupokea mzigo kupitia POSTA Je kati ya DHL na Posta wapi kuna gharama kubwa zaidi ? Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri. Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa. Maana yake no selling or buying of shares...
7 Reactions
43 Replies
7K Views
Habari nyote. Kama maelezo yasemavyo hapo juu naomba kufahamu kampuni za kusafirisha mizigo kwa ndege kutoka China kwa bei nafuu. Nimekuwa nikitumia Unique aircargo lakini kiukweli mizigo...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
za mda huu wadau, mimi ombi langu ni kwa mtandao wa voda pamoja na mitandao mingine ya simu, kwa sehemu yangu ninafurahia huduma ya mastercard zenu ila tatizo ni pale mtu anapokuwa amesajili...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu ya kila siku katika harakati za kutafuta mkate. Mimi ni mmoja kati ya wahanga wengi tuliohangaika kutafuta ajira kwa muda mrefu bila mafanikio. Baada ya kusota...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa JF habari za uzima, Mimi ni kijana wa miaka 20 mwanafunzi wa chuo mwaka wa Pili. Kuna some business ndogo ndogo nahitaji kuzifanya lakini naombeni mnishauri ni vigezo gani zaidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wazee wa boma, Naombeni mnitoe tongotongo kuhusu hili. Nasikiaga watu wanasema kuwa Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sijajua architect wa hii interchange .. lakini designer ametisha.. alituliza sana kichwa kuja na hii solution kwa eneo dogo kama hili.
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Mtaji wangu ni kati ya 7.5M - 10M nimewekeza kwenye duka la chakula,sabuni spices nk... reja reja ILALA DAR, wakuu wataalamu wa TRA nawaomba munijuze hapa kiasi gani yafaa nilipe TRA kwa mwaka...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Credit card ni idea ilio anzishwa na watu ili kutatua changamoto za kusubilia hadi siku ya mshahara ndo watu wafanye shoping. Ukiangalia Tanzania malipo mengi ni mwisho wa mwezi na kweli ukifanya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu huu ni mwezi wa pili kwa wale wanaotumia broker wa templer forex hawawezi kudiposit pesa kwa njia ya M-Pesa Tanzania Inasemekana kuna mgogoro mkubwa wa kampuni ya M Pesa na BOT Tafadhali...
8 Reactions
51 Replies
13K Views
Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi. Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Airtel money branch kwa ujumla, ( faida na changamoto zake kubwa, Uuzaji...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habar zenu Wakuu! Nina lengo la kuanzisha na seriouly kufanya biashara ya Maabara ya kupima vipimo vyote vya magonjwa ya binadamu katika moja ya mji wa hapa TZ. Ninacho omba kutoka kwa watalaam...
1 Reactions
24 Replies
22K Views
ndugu wana jf, nataka kuanzisha biashara ya kuuza gesi ya kupikia na accessory zake.,naomba msaada kuhusu procedure zinazotakiwa ili niweze kufanikisha ndoto yangu. pia mwenye idea na strategic...
0 Reactions
260 Replies
117K Views
Nawezaje mudu mahitaji yangu na kupata kipato kwa kutumia simu yangu ya mkononi
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wanajukwaa salaam! Nimechukua fursa hii kutumia jukwaa hili pendwa kutoa ya moyoni juu ya zoezi la upangishaji wa maeneo ya biashara kama ilivyotangazwa na tovuti ya tamisemi...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom