mrs konk
Member
- Nov 17, 2018
- 54
- 97
Habari wakuu,
Poleni na majukumu ya kila siku katika harakati za kutafuta mkate. Mimi ni mmoja kati ya wahanga wengi tuliohangaika kutafuta ajira kwa muda mrefu bila mafanikio.
Baada ya kusota kitaa na kujaribu hiki na kile ili mradi kupunguza ukali wa maisha nimekuja na wazo la biashara la kufungua kiwanda cha kitengeneza bidhaa za viwandani kama sabuni za maji za aina zote, za unga na vipande.
Kwa kufuata taratibu zote zinazotakiwa kulingana na sheria za nchi yetu, lengo likiwa ni kuzifanya bidhaa kufika mbali hadi nje ya nchi. Naamin ni maono yanayowezekana endapo tutatia bidii, subra na kumshirikisha mwenyezi Mungu kwenye kila hatua.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutafuta partners wengine wawili ambao watakuwa tayari, tuweze kushirikiana na kutekeleza mradi huu hasa waliopo jijini Mbeya. Naamin JF kuna watu wa kila aina kama nitapata waliopitia changamoto kama yangu naamin watakuwa na uchungu wa maisha na tutafika mbali zaidi.