Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

Utaratibu wa kufungua personal sanduku la posta

siku hizi unafungua hata online
search

siku hizi unafungua hata online

siku hizi unafungua hata online
search google Postal Tanzania
gharama unafungua

siku hizi unafungua hata online
search google Postal Tanzania
gharama elfu 14
hapa unazungumzia virtual BOX au physical kabisa
Screenshot_20201129-081936_Chrome.jpg
 
Nimekupata,physical yenyewe inakuwaje ktk ufunguzi
mimi nimefungua mwaka jana
kama upo dar es salaam fika pale posta ya zamani (kuna posta pale)
panda flour ya pili (kuna mlinzi pale atakuelekeza)
uwe na kama elfu 32 mfukoni
pia wanataka zile picha ndogo kabisaaaa mbili (achana na zile passport size za kawaida, zile zinazofatia kwa udogo kabisa)
kama mtatumia watu wawili ilo box unaweka na picha ya uyo mwenzio (ni wawili tu hawazidi)
utapewa ID na Funguo la box (funguo zinakuwa 2)
kila mwaka utakuwa unalipia sh 17300) kama ada ya box ya kila mwaka


ni ayo tu, karibu kwa maswali zaidi.
 
mimi nimefungua mwaka jana
kama upo dar es salaam fika pale posta ya zamani (kuna posta pale)
panda flour ya pili (kuna mlinzi pale atakuelekeza)
uwe na kama elfu 32 mfukoni
pia wanataka zile picha ndogo kabisaaaa mbili (achana na zile passport size za kawaida, zile zinazofatia kwa udogo kabisa)
kama mtatumia watu wawili ilo box unaweka na picha ya uyo mwenzio (ni wawili tu hawazidi)
utapewa ID na Funguo la box (funguo zinakuwa 2)
kila mwaka utakuwa unalipia sh 17300) kama ada ya box ya kila mwaka


ni ayo tu, karibu kwa maswali zaidi.
Mm nipo mkoani kiongozi ,hkn uwezekano wa kufungua physical BOX online
 
okay nimeenda ktk website yao nimeona inaruhusu virtual box BOX kufungua lkn ukichagua physical box link inakuwa inactive Sijajua tatz ni nini hapa
Hilo ndy tatizo kubwa la inchi hii,,kufanya mambo ki digital ,,wakati mfumo huo bado una usumbufu mkubwa tu..
Sawa mkuu..
Ila nakushauri rudi ofisini watakupa mwongozo mwingine..

Mimi niliwahi kwenda ofisi za mabaharia zipo pale millennium tower,,(tasac) 7 floor.
Shida yangu ilikuwa ndogo sana tu..
Nilihitaji form za kwenda kuchukuwa medical check up..
Kufika pale nikapewa link za kufunguwa then ni print out zile form za maombi kupitia ile link niliyopewa. .

Hivi kwann wahusika msituwekee forms badala ya kutupa link za kujaza forms?

mnatusababishia usumbufu mkubwa sana na kutengeneza mazingira ya rushwa kwa wafanyakazi ambao sio waaminifu.

Mkuu nilipata usumbufu sana,,

Kila nikifunguwa link haifunguki,,

Nilihangaika zaidi ya masaa 2,,bila mafanikio..
Panda shuka,,,niliuliza jinsi ya kufunguwa hiyo link hata hao wafanyakazi nao hawajuwi..

Nikiomba forms ofisini wanasema forms hawana,,
Zaidi ya Mimi kuprint forms baada ya kufunguwa link yao..

Tena niende mitaani kutafuta stationary then nifanye printing zile forms..
Nirudi tena floor ya 7 ofisi za tasac kupiga muhuri,,nipeleke kwa doctor mtaa wa samora kwa ajili ya kujaziwa medical check up... Ni usumbufu mtupu mkuu.

Mwishowe nikajiongeza,,,ilibidi ninunuwe forms kwa 5000 sh..humo humo ndani,,

Kumbe forms wanazo,,na wanajuwa kama hiyo link ni usumbufu..
Wao sasa wanaziuza hizo forms,,,kati ya 5000 - 3000 sh ,,,wakati ni bure kabisa..

Nadhani hebu rudi tena ofisini,,ongea na muhusika chemba,,
 
kwanza natanguliza shukrani kwa JF members mpk nimefikia hatua hizi ktk kufungua sanduku la posta

nimefata utaratibu wote lkn tatzo

kipindi najaza hawakuomba username lakini ktk log in wameniomba username ambayo sijajaza ktk registration

nimeshalipia tayari na POSTA wame respond kuwa umelipia virtual account

japo hiyo address pia bado sijapewa, Nimewacheki ila wapo kimya tangu asubuhi, so mwenye utaalamu naomba anisaidie hapa

sijafahamu kam
Screenshot_20201129-191156_Chrome.jpg
Screenshot_20201129-191156_Chrome.jpg


Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom