Kuhusu Pesa Za MasterCard

Kuhusu Pesa Za MasterCard

00001

Senior Member
Joined
Jul 28, 2020
Posts
185
Reaction score
987
Wazee wa boma, Naombeni mnitoe tongotongo kuhusu hili.

Nasikiaga watu wanasema kuwa Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard.

Kuna mwngine nilisikia akisema alishawahi ingia cha kike kwa kukubali kulipwa kwa MasterCard na ikampelekea kuuza hizo dollar zake kwa TZS 1500 kwa dollar moja.

Sasa ni kivipi hizo pesa za MasterCard hazina thamani? wakat kuna ATMs nyingi tu znaSupport MasterCard tena kwa exchange rates nzuri tu.
 
Sasa ni kivipi hizo pesa za MasterCard hazina thamani? wakat kuna ATMs nyingi tu znaSupport MasterCard
Ilitakiwa uwe specific kuwa ukitumiwa fedha katika SKRILL account, na chanzo kikiwa ni mastercard ndio huwa kuna tatizo la kutoweza kuitoa hiyo fedha kwa njia za kawaida tulizo zoea kutoa fedha toka skrill.

Sasa ni kivipi hizo pesa za MasterCard hazina thamani?
Sio kweli kwamba hazina thamani, bali ni restriction walizonazo skrill - mastercard, ni tofauti na TOS za skrill-visa card
Kuna mwngine nilisikia akisema alishawahi ingia cha kike kwa kukubali kulipwa kwa MasterCard na ikampelekea kuuza hizo dollar zake kwa TZS 1500 kwa dollar moja.
Ni jambo la msingi kabla ya kupokea malipo inatakiwa ufahamu chanzo cha fedha husika ili kuepuka huu usumbufu.
Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard
Kama umefanya kazi online omba atumie njia mbadala wa malipo, ili kukusaidia. Mweleze wazi tatizo lililopo.
 
Ilitakiwa uwe specific kuwa ukitumiwa fedha katika SKRILL account, na chanzo kikiwa ni mastercard ndio huwa kuna tatizo la kutoweza kuitoa hiyo fedha kwa njia za kawaida tulizo zoea kutoa fedha toka skrill.

Sio kweli kwamba hazina thamani, bali ni restriction walizonazo skrill - mastercard, ni tofauti na TOS za skrill-visa card

Ni jambo la msingi kabla ya kupokea malipo inatakiwa ufahamu chanzo cha fedha husika ili kuepuka huu usumbufu.

Kama umefanya kazi online omba atumie njia mbadala wa malipo, ili kukusaidia. Mweleze wazi tatizo lililopo.
Asante sana mkuu,
Hapa nimekuelewa 100%
 
Boss Mimi nimeverify Skrill yangu kwa MasterCard sasa nataka nitoe ela mtandaoni ambao wao hawapeleki Skrill kwa MasterCard je restrictions hizo ntasikwepa na kutoa ela kawaida 2?
 
Boss Mimi nimeverify Skrill yangu kwa MasterCard
Unamaanisha nini unaposema umeverify kwa mastercard

Ninachofahamu SKRILL verification inahitaji
  • Address verification
  • Identinty verification
  • Email / Mobile number

Fafanua hapo.
sasa nataka nitoe ela mtandaoni ambao wao hawapeleki Skrill kwa MasterCard
Hebu weka vizuri hii sentensi ili uweze kueleweka vyema nini hasa unataka kusema
 
dah bora mwalimu umekuja manake Mimi pi sikuelewa
 
Wazee wa boma, Naombeni mnitoe tongotongo kuhusu hili.

Nasikiaga watu wanasema kuwa Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard.

Kuna mwngine nilisikia akisema alishawahi ingia cha kike kwa kukubali kulipwa kwa MasterCard na ikampelekea kuuza hizo dollar zake kwa TZS 1500 kwa dollar moja.

Sasa ni kivipi hizo pesa za MasterCard hazina thamani? wakat kuna ATMs nyingi tu znaSupport MasterCard tena kwa exchange rates nzuri tu.
Utakuwa uliskia vipaya mkuu hebu kasikilize tena mkuu
 
Ni kweli nilisikia vbaya, mjadala ulikuwa ni MasterCard to Skrill. Mwalimu hapo juu amefafanua vzuri
 
Kumbe ushapata solution kama vipi fungua akaunti ya skrill ya kenya uwe unatoa pesa kwa safaricom
 
Back
Top Bottom