CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Credit card ni idea ilio anzishwa na watu ili kutatua changamoto za kusubilia hadi siku ya mshahara ndo watu wafanye shoping.
Ukiangalia Tanzania malipo mengi ni mwisho wa mwezi na kweli ukifanya tathimini zile wiki ya mwisho wa mwezi na wiki 1 ya mwanzo wa mwezi huwa Purchasing kidogo ina shift sana make watu wanakuwa wamelipwa pesa.
Hizi wiki zingine hapa katika kati manunuzi ni ua kusua sua kwa sababu watu hawana pesa.
Wazungu wao baada ya kuona hili ndo wakaja na credit card ili basi hata kama mtu hajalipwa mshahara aweze kufanya manunuzi.
Walikuja na hii baada ya kuona changamoto ya mauzo kwamba walikuwa wanauza zile siku 2 au 3 za watu kuwà wamelipwa pesa, hapo katikati ya wiki kulikuwa hakuna manunuzi ya maana.
Ila baada ya credit card manunuzi yalikuwa yanafanyika wiki nzima, hayakusubilia zile siku za mwisho wa wiki za kulipwa.
Bongo tuna changamoto hii ndo maana Bidhaa ku expire, kukaa hadi kuisha fashion yake ni kitu cha kawaida sana kwa sababu tunangojea sana mwisho wa mwezi watu wafanye manunuzi na hapo hapo huo mwisho wa mwezi bado unakuta mtu ana majukumu kibao kama ada na kadhalika.
Ni wakati sasa wa kuja na mbinu za kutatua hii changamoto ya kungojea mwisho wa mwezi.