Nawezaje endesha maisha kwa kutumia simu yangu ya mkononi?

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Aug 6, 2018
4,500
2,000
Kuwa muwazi basi dogo unataka kuendeshaje basis hayo maisha yako na ni simu gani unayoizungumzia isije kuwa ni Nokia 1110 amabayo labda unaweza kuwatumia SMS madanga wako(warume)
 
Lihove2

JF-Expert Member
Mar 23, 2018
1,852
2,000
Fact, bado elezea vzr nielew
Lazima uwe na kitu kwanza ndiyo simu inaanzia hapo.Simu pekee yake haina kitu inaweza kukuletea.Ila ina facilitate kitu kingine kufanyika ili upate maisha.Anzisha kitu kwamza ,ama biashara au chchote cha kuingiza fedha ili utumie simu kupata wateja wakuletee fedha upate maisha.otherwise utatumia maisha (fedha )kuendesha simu.

Ingekuwa zamani ningekushauri ufungue kijiwe cha kupigisha simu
 
Juma sele

Member
Nov 12, 2020
54
95

Hahahahahaha kaka akili nyng sanaa upo nazo nmekupata
 
ndotoyangu

Member
Nov 7, 2020
98
150
Nawezaje mudu mahitaji yangu na kupata kipato kwa kutumia simu yangu ya mkononi
Kama ni simu ya smartphone jifunze kutengeneza matangazo ya picha kama vile social media posts na logo. Unaweza kutengeneza logo na Matangazo kupitia Simu yako.

Baada ya kujifunza Tengeneza brand yako na anza kuwasaidia wajasiriamali na wafanyabiashara kutengeneza matangazo watakulipa hata kuitengeneza tangazo moja elfu 3 sio mbaya.

Mfano mimi ninaweza kutengeneza tangazo hata la Tsh 20,000 kwa kutumia simu tu na mteja akafurahia kazi yangu.

SIO RAHISI NA SIO NGUMU..

Inahitaji uthubutu wa kweli na kujifunza kila siku. Pia jifunze Marketing na Customer Care unaweza kufanikisha hayo yote Online. Bila hata kwenda chuo.

Nakutakia maisha mema, Pambana usikate tamaa.
 
Luckytz

Senior Member
Jul 5, 2018
103
225

Unatumia application ipi kufanya haya yote kwenye simu?
 
MoseKing

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,627
2,000
Fanya mchakato upate na pc na bundle la internet upige u freelancer. Ukiwa mwepesi kujifunza na ukawa serious plus ngekewa hukosi milion kwa mwezi isiyokatwa kodi ya serikali
Mkuu easy freelancing gigs na sutes ni ipi ?
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
5,551
2,000
Mkuu easy freelancing gigs na sutes ni ipi ?
Mkuu the fact hakuna easy money kwenye freelancing japo unaweza pata easy task ila usiingie kwa kuwaza hivyo. jaribu freelancer.com, upwork.com, fiverr.com
Narudia tena hakuna easy man wengine wanasema pesa ya kudownload. Japo kupitia huko unaweza pata easy tasks mfano. Mwezi uliopita mpaka mwezi huu nilikuwa na easy task toka kwa client mmoja, yeye yuko netherland anaingia online kwenye maduka ya tz ananunua bidhaa analipia wana deliver kwangu nazihifadhi, then wiki iliyopita ilibidi niship hizo bidhaa zote kwenda U.K kwenye kampuni inaitwa lega brand. Ilikuwa ni task rahisi sana ila alinilipa dollar za kutosha. Ila task kama hiyo ni chache.
 
Fiverr naona wahuni wengi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom