Biashara ya duka la Airtel (Airtel Money Branch)

Mr Benja

Member
May 28, 2018
44
40
Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi.

Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Airtel money branch kwa ujumla, ( faida na changamoto zake kubwa, Uuzaji wa miamala (kwa mawakala na wateja wa kawaida), kusajili laini, kukamilsha usajil, kutengeneza till za Airtel money, Office equipments,) nakadhalika.

Natamani kusikia kwa mtu anaefanya hii biashara, Utaratibu wake ukoje?, secrets behind business, na Mtaji wa kiasi gani unaweza kuanza nao kwa kufungua Airtel money branch?,

inawezakana niko too general stilll bt in anutshell I hope mtanisaidia Wandugu.
QGyNnVAsYFSP6RJ8.jpg
View attachment 1620153
 
Kwa unae anza utatakiwa kudeposit 1m ili wakufanyie branding ya duka, faida ya hii biashara ukiwa kwenye population kubwa, lakini pia utafaidika zaidi kama hilo eneo kuna mawakala wengi wa airtel, ambao utakuwa unawawekea flot.
 
Kwa unae anza utatakiwa kudeposit 1m ili wakufanyie branding ya duka, faida ya hii biashara ukiwa kwenye population kubwa, lakini pia utafaidika zaidi kama hilo eneo kuna mawakala wengi wa airtel, ambao utakuwa unawawekea flot,
Hiyo 1 milioni inakua ni mtaji wako au unawapatia wao kama dhamana? Mi ni wakala nikienda kuongeza floti wanapiga kwa wakala mkuu, sijajua hua inakuaje hapo.
 
Back
Top Bottom