Wakuu habari za Leo, binafsi nafaham riziki ipo popote lakini Kuna biashara inahitaji eneo sahihi.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nahitaji Kujua sehem gani ambayo kwa mtazamo wako itafaa...
Habari zenu wadau wa Biashara,
Naomba kujua yafuatayo:
Nimefungua biashara ndogo lengo langu ni ili ije kuwa kubwa. Ninashirikiana na mke wangu hivyo nataka tuwe na jina moja la biashara tofauti...
Habari wakuu!
Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc.
Mimi napatikana Dar es salaam, na nina...
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote...
Mafanikio ni maendeleo ya kutoka hatua Moja ya maisha kwenda hatua nyingine, mafanikio hayo yanaweza kuwa katika nyanja mbalimbili ikiweno kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Watu wengi sana Tanzania...
Jamani naombeni mwenye kujua kuhusu biashara ya accessories kama saa, hereni, cheni, vipuri, vikuku, spray pamoja na urembo mwingine upatikanaji wake na biashara yake inaendaje.
Nitashukuru sana...
Wakuu napenda kufahamu
Niliagiza mzgo wangu wa simu kwa kutumia FedEx kwa matumizi yangu. Nimejarbu kuwapelekea invoice kwa sababu unahitajika kufanyiwa clearance ila inaonekana gharama ni kubwa...
Wandugu salaam!
Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile...
Salute wakuu !!
KARIBU kwenye Jukwaa letu la Biashara, Uchumi na Ujasiriliamali. Leo nimekuandalia Biashara 10 ambozo ukizifanya zinaweza kukuleta mafanikio makubwa sana.
Biashara Kumi (10)...
The South Africa Avocado Growers Association (Saaga) has been pushing to have the regulations to resolve a sanitary issue that has seen Tanzania’s Hass and Fuerte avocado exports to South Africa...
Heshima kwenu wakuu.
Nilianzisha uzi hapa "huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa" na kweli nilipanga kuacha kazi baada ya kuona mshahara hautoshelezi mahitaji yangu na familia kwa ujumla...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano!. Bila shaka mu wazima na kama una tatizo kidogo au sana la kiafya, basi natamka uponyaji kuanzia sasa, UPONYWE
Kama kichwa cha habari...
Vodacom tunawaomba mfanye marekebisho kwenye upande wa m-pesa hasa commission tunazopata sisi mawakala n ndogo sana ukilinganisha na mitandao mengine.
Mfano:
1. Mpesa mteja akitoa shs200,000/=...
Habari wanajamii,
Huu ni ukurasa ambao utakua ni maalumu kwaajili ya kutoa taarifa na maarifa kuhusiana na matatizo yanayozikabili nchi nyingi za Afrika na njia mbalimbali ambazo zinaweza...
Sio rahisi kuupata utajiri kama una sifa hizi:
1. Kuguswa kwa dhati na matatizo ya wanaokuzunguka yaani ndugu, jamaa na marafiki maana wapo wengi mno kabla haujawasaidia wote tayari ushakuwa...
1. MAYAI YA KUCHEMSHA
mchanganuo wake uko ivi - ukiwa na mtaji wa elfu kumi 10000/= unatosha kuanza biashara hii ambapo trey ya mayai moja inauzwa 7500/= mpaka 8000/= , pia waweza nunua trey zile...
Wadau habari za majukumu?
Ninahitaji pikipiki ya mkataba ambayo nitarejesha elfu 70 kwa wiki kwa makubaliano ya muda ama miezi kadhaa baada ya hapo inakuwa yangu.
Kwa mawasiliano na maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.