Matumizi ya simu ya kiganjani

Matumizi ya simu ya kiganjani

TECNO Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
192
Reaction score
217
Mambo vipi?

Tungependa kujua unatumia vipi simu yako ya kiganjani ili kukuletea kipato kwa njia ya mtandao?
 
Mambo vipi?
Tungependa kujua unatumia vipi simu yako ya kiganjani ili kukuletea kipato kwa njia ya mtandao?
Huwa naitumia kulipia TOZO tu dadeeki, utadhani kuwa na simu Tz imekua laana. Jamaa wanakata hawana huruma kabisa

IMG_20210615_064041.jpg
 
kuingia exotictz dot com na kugonga totoz tamu za uko
una lengine ?
 
Back
Top Bottom