Naomba kujua kuhusu biashara ya urembo

Abbyarico

Member
Aug 5, 2021
50
42
Jamani naombeni mwenye kujua kuhusu biashara ya accessories kama saa, hereni, cheni, vipuri, vikuku, spray pamoja na urembo mwingine upatikanaji wake na biashara yake inaendaje.

Nitashukuru sana nikipata msaada huu kwasababu hii biashara nataka kuifanya ila sina ujuzi wowote naombeni msaada jamani
@CHASHA FARMING
 
Uwe makini sana. Usitoe hela kwa mtu yoyote bila kufika ofisini kwake. Mzigo na hela mpeane mkono kwa mkono.

Narudi tena. Kila kitu ni mkono kwa mkono usitoe hela bila kukabidhiwa mzigo.

Nashukuru sana rafiki angu nimekuelew sana
 
Back
Top Bottom