trumpet
Member
- Jan 25, 2017
- 18
- 13
Wadau habari za majukumu?
Ninahitaji pikipiki ya mkataba ambayo nitarejesha elfu 70 kwa wiki kwa makubaliano ya muda ama miezi kadhaa baada ya hapo inakuwa yangu.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi # 0627999050. Msaada tutani waungwana ili niendelee kuishi mjini kabla sijawaza kuiba.