Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,355
- 2,261
Sio rahisi kuupata utajiri kama una sifa hizi:
1. Kuguswa kwa dhati na matatizo ya wanaokuzunguka yaani ndugu, jamaa na marafiki maana wapo wengi mno kabla haujawasaidia wote tayari ushakuwa maskini.
2. Kuwa mtu wa haki, walio na utajiri kabla yako watakushusha kwa kutumia uwezo wao maana ni lazima utawakwaza katika mitikasi yao kwa kupenda kwako haki.
Kuna namna fulani lazima misingi ivunjwe ili utajiri unukie.