Habari yako ndugu
Nchi yetu imefikia katika kiwango kizuri cha uchumi ambapo ni uchumi wa kati ambao umetokana na jitihada zinazofanyika ndani ya nchi yetu zikisimamiwa na viongozi imara na...
Kwa wale wakubwa nawaamkia shikamoo, na kwa wale wadogo zangu nawasalimia habari?
Mimi ni mwanaume nisiyesikia yaani Mimi ni kiziwi ninaitwa Amirosa. Kwa yule yeyote mwenye uwezo wa kifedha...
Habarini ndugu.
Nimekuwa nikiagiza vitu mara kadhaa kutoka China hasa kwa kutumia Alibaba, 1688 na Taobao.
Ila kwa sasa nahitaji kupata connection pia ya namna ya kupata suppliers wa kutoka...
Kwema wapendwa Kuna mtu anahitaji kuanzisha project ya kufyatua tofari na kuuza . Naomba kujua kwa niaba yake na wengine walio na wazo Hilo wajifunze.
Je biashara hii inachangamoto zipi, pia...
Kwa tafsi rahisi naweza kusema Vicoba ni vikundi vya watu/wajasiriamali kwa madhumuni ya kuweka akiba na kukopeshana na pia kugawana faida/gawio.
Hata hivyo,hili la kugawana faidi kwangu mimi...
Naleta kwenu wana JamiiForums
Kwa wale wenye uzoefu wa kuagiza bidhaa mbalimbali kutoka Dubai kuja Tanzania tupeane experience japo kidogo
EXPERIENCE HUSANI KATIKA;
• Masoko: ni masoko yapi...
BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam.
Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali.
Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na...
Habari yako ewe mdau wangu wa nguvu.
Mara kadhaa tumekuwa tukiona watu wanachukua mikopo kwenye benki tofauti tofauti au taasisi za kifedha huku wimbi kubwa la wanaochukua mikopo hiyo ikiwa ni...
Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
Habari Wana JF
Nahitaji kununua mahindi Kwa wakulima mikoani na kuwa nasafirisha kuyaleta dar au mikoa yenye uhitaji zaidi.
Naomba kujua niwe na vibali gani na vinatolewa na Taasisi gani...
Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta...
Laki tano, Mshahara wa Ma-Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya TECNO PHANTOM mpya kabisa kwa kujishau Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti ya Mafuta ya SUBARU mwezi Mzima.... Laki Tano...
Nimenunua Jeans zaidi ya Nne Vunjabei zote zimechanika zote ni Low Quality vitu vingi anavyouza ni Mitumba ya Kichina haidumu kabisa.
Now Kashakuwa na Jina Kubwa Auze Nguo zenye Quality sio...
Habari wana jukwaa
Nina partiner wangu yupo Japan anaishi south Africa ni car dealer....ameniambia nisajili custom bond ware house na kampuni commission agent company.amedai nikifanya hivyo...
Mfumo ambao dunia imejiwekea wa kumtafsiri mtu na mtu au hata taifa na taifa kupitia vipato vyao (pesa) umekuwa ukiweka maswali mengi sana kichwani kwangu, moja kati ya swali ambalo mpaka leo bado...
Habari wana j.f
naomba watalam wa maswala ya fedha mni saidie.nimezunguka nchi nyingi utaratibu wa fedha upo hivi kuna sent 1,2,5 na10 na 50 baada ya hapo kuna 1 mfn 1usd,1kwacha,1rand au 1tsh...
Mambo vipi wadau,
Nataka kufungua car wash nzuri na ya kisasa lakini hii biashara nataka iwe tofauti na watu wengine wanavyofanya ili tuweze kuliteka soko.
Nahitaji mtu tushirikiane tuwe kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.