Wadau,
Nahitaji Supplier wa uhakika wa samaki wabichi (Sato na Sangara) kutoka Mwanza kwa bei ya Jumla.
Anaitajika awe Mwanza na aweze kituma mzigo Dar es salaam.
Karibuni.
Natumaini hamjambo wananzengo.Hii kitu inaniwazisha sana.Nitashangaa sana kama kuna mtu anafikiria kujenga hii nchi.Nani anajifunza kujenga madaraja,mabarabara& maghorofa au mpaka tuwaite...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo. Kijana wenu nimekuja hapa kuomba msaada wa kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuwa wakala wa soda za pepsi au cocacola pamoja na bia.
Kwa yeyote ambaye yuko kwenye...
Habari za leo,
Naamini hapa JF kuna watu ambao tayari wameshawahi kununua bonds na wanaufaham wa jinsi ya kushinda minada ya hati fungani.
Nimelenga kuwekeza kwenye bonds za muda mrefu (25...
Is there Illicit Money (fedha haramu)?
I met a Chinese Project Engineer stationed in Tz, in our exchange, he wondered as to what is "Illicit Money" He has come across the jargon just here in...
Habari wadau,
Nipo katika misele misele najaribu angalia maeneo mbali mbali yenye potential hapa mjini? Ila nimekuwa interested na kupaelewa Kigamboni kwa wakazi wa huko najua mpo humu mnaona...
HABARI ZA SAA HIZI ndugu zangu,nilikuwa nauliza biashara ya kusafirisha samaki kutoka dar kwenda arusha,samaki waliio kaangwa tayari,nataka kujua kwa hapa dar samaki wanapatikana kwa bei gani,na...
Mapambano bado yanaendelea wakuu,
ninajishughulisha na ufugaji wa kuku kwa kipindi kirefu sasa. Nimeamua sasa kufanya shughuli hii kitaalam ndipo nikachanganya madesa tofauti tofauti na kupata...
Kwanza kabisa, ninapenda kuihasa jamii kuhusu suala la kufanya kazi (kujishughulisha), ili iweze kuondokana na Uzembe na Umaskini. Pia Wazazi au walezi, wanapaswa kuwafunza vijana wao namna ya...
Baada ya kupitia BOT nikaona kitu kinaitwa IFEM yaani interbank foreign exchange market, imenichanganya how it works kwamba ni mfumo unaodili globally au ndani ya nchi, nikaamua kuingia chimbo...
Nakusalimuni wakuu.
Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam.
Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi...
Jamani, kuna yeyote anayeishi Katavi, hasa Mpanda, au mwenye ndugu wa huko?
Nimesikia biashara ya nguo za mtumba inalipa sana huko. Kama una uzoefu au unafahamu hali halisi ya biashara hiyo...
Ndugu zangu Leo nime ona ni Waletee wale ambao wana angaika na Biashara vyao rituel iyi ya White magic ili kuwasaidia
Na wao pia wa endelee katika maisha
Kuna Watu ambao wana amini kuwa mpaka...
Nimepambana ndani ya miaka 3 nimefanikiwa kupata milioni 6 Sasa nilikuwa naomba ushauri ni taasisi gani ya kibenki au yoyote ile ninayoweza kwenda kudeposit kiasi hicho cha fedha na baadaye kuvuna...
Habari zenu wapendwa nauza korosho za kuokwa na mbichi kutoka mtwara
1kg 20000
1/2kg 10000
1/3kg 5000
Tupo Dar es salaam Kimara Baruti
Delivery ipo kila ijumaa kwa gharama ya 2000 tu,mkoani pia...
Wanabodi,
Leo ni Tarehe 7 mwezi wa August, kesho ni tarehe 8 August, siku ya Sikukuu ya Wakulima ya Nane Nane, Tanzania licha ya uchumi wetu kutegemea kilimo, hatujawahi kuwa na Benki mahasusi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.