Assume unadate na kadada, asubuhi kanakupigia simu kanasema namuomba Mungu akusimamie katika hustle zako siku nzima ya leo 😁😁.
Kwan Pete ya dhahabu shingapi wadau.? 😂😂
Habari wajuzi wa mambo. Nimevutiwa Sana na Biashara ya cement.
Naomba Anayeweza nambia njia nzuri ya kufanya Kazi hii in and out. Mtaji wangu ni 3million
Ahsante
Wadau wa Biashara na Ujasiriamali,
Tumeona humu kuna wazoefu wa biashara hizi za mazao ya kilimo, bila shaka ni sahihi kuleta jambo hili kwenu ili tubadilishane uzoefu.
Pichani ni mzigo wa...
Hii taasisi ya kukopesha watumishi wa Uma Faidika au Letshego inakiuka kanuni na taratibu za utoaji mikopo mathalani kupandisha riba bila taarifa mpaka kupitiliza na hii wameanza mwezi wa 9...
Salaam Wakuu,
Baada ya kusota na demo account kwa miezi mitatu na nusu hivi sasa soon nitaanza kutrade live, naomba kupata taarifa sahihi za huyu broker kama yupo regulated na board yoyote...
Nahitaji kuwa na mtu mmoja wa kufanya nae biashara kubwa ya stationary kibwa sana mjini Bukoba,,awe seriously kwa hilo mimi nipo Dar es salaam ila ni mzaliwa wa Maruku,yeye awe ni mtu ambae makazi...
Habari za muda huu wana Jamii Forums.
Takribani wiki nzima sasa nimekuwa nikijiuliza hili swali "Tofauti kati ya biashara na uwekezaji ni ipi" linaweza likawa swali la kijinga au la kitoto kwa...
Ruzuku ni kiasi cha fedha kinachotolewa na mashirika binafsi ya hisani (charitable giving foundation), mashirika ya ya umma ya hisani (public charity) au wakala/Taasisi za serikali (government...
Biashara ya betting imekuwa kwa kasi sana miaka ya hivi karibuni. Napenda kuuliza kwa anayejua inaingiza shs ngapi kwa mwezi. Na kawaida mtaji wake ni bei gani?
Nawasalimu kwa jina la JMT
Ningependa kufahamu budget ya kufungua duka la reja reja la mahitaji ya kila siku, duka la wastani, na maandalizi yake yanahitaji nini na nini.
Karibuni mlete mawazo...
Hiki ndo kumekuwa kisingizio kikuu sana kwa kila kijana. Ukimuuliza kwanini uko sehemu fulani au kwanini haufanyi chochote ili kuhakikisha ndoto zako zinatimia, utajibiwa ," sina mtaji, sina pesa...
Habari wa jamvi. Kijana wenu nawaletea good laptops brand new, second hand from United Kingdom at cheapest price. Pia mteja anaweza kutaja price ambayo anayo then akapewa best laptop according to...
Kuwa na Bidhaa au Huduma nzuri sana
Bila kuitangaza
Au kuweka bajeti kwaajili ya kuitangaza
Ni sawa na kuwa na gari nzuri sana
Pengine BMW, PRADO au Benz
Isiyo na mafuta
...Hakuna...
Assalam wakuu
Nimependa niwaletee elimu toka kwa mtaalamu kama ifuatavyo
Utangulizi
Bismillah Rahman Rahim. Watu wengi bado wanajiuliza juu ya mfumo huu wa fedha wa kiislamu hususani uendeshaji...
Matangazo ni swala muhimu kwa kila biashara. Tatizo linatokea pale ambapo biashara inashindwa kumudu gharama za matangazo, hasa matangazo ya gharama kubwa.
Naamini wewe kama mjasiriamali...
HILI LA WAMACHINGA RAIS AMENENA
Ni bahati njema kwamba idadi kubwa ya watu wetu katika taifa ni vijana, ambao ni nguvukazi muhimu katika juhudi za kujiletea maendeleo. Kuwa na vijana wengi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.