M MusuKuma Member Joined Jan 30, 2021 Posts 33 Reaction score 87 Sep 28, 2021 #1 Kwema wapendwa Kuna mtu anahitaji kuanzisha project ya kufyatua tofari na kuuza . Naomba kujua kwa niaba yake na wengine walio na wazo Hilo wajifunze. Je biashara hii inachangamoto zipi, pia mtaji wake lakini Sana tujue Bei ya mashine huska. Karibuni.
Kwema wapendwa Kuna mtu anahitaji kuanzisha project ya kufyatua tofari na kuuza . Naomba kujua kwa niaba yake na wengine walio na wazo Hilo wajifunze. Je biashara hii inachangamoto zipi, pia mtaji wake lakini Sana tujue Bei ya mashine huska. Karibuni.
KingPower JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 1,145 Reaction score 1,888 Sep 28, 2021 #2 Niko mstari wa mbele kbsa