BASHIR YAKUB, Wakili.
0714047241
Naishitaki Tigo, Airtel, Vodacom na Halotel. Kwa mujibu ya Sheria Namba 12/2003 ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mashtaka ya aina hii natakiwa kuyaandikia...
Naomba ushauri kati ya kununua soundbar au hometheater ipi itakua ni nzuri zaidi kwa matumizi yangu? Maana nahitaji moja wapi kati ya hizi na sijui utofauti wake! Na no vitu gani vya kuzingatia...
Habari Wanajamvi
Naomba mnisaidie jambo moja kwa watu wenye uelewa na hili swala la mambo ya wakala wa huduma za kifedha katika mitandao ya simu na huduma za Kibank.Mimi nafanya huduma hizi jambo...
Mwenye uhitaji wa kufungua biashara ya uwakala wa Bima, Insurance Agent na umekwama sababu ya cheti cha bima.
Nitafute nikupatie maana na kwangu hakina msaada.
Ndugu zangu niko na gari aina ya Raumu nataka nitumie walau nijipatie riziki naomba mwenye kujua sehemu ambayo ina njia nzuri alafu kuna changamoto ya usafiri anielekeze humu nikafanye hapo kazi...
Naomba kufahamishwa kwa wenyeji wa Dar es Salaam, mashine za kuchajia betri za magari zinauzwa kiasi gani? Zipo za aina tofauti kuna zinazoingizwa toka nje ya nchi na zinazotengenezwa na...
Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa...
1. Mteja Mwaminifu (Loyal customers).
Hawa ni wateja ambao wanachukua asilia chache sana ya wateja wako wote wa kilasiku. Lakini ndio wanao fanya manunuzi kwa wingi Zaidi katika biashara...
Jambo ndugu zangu Kuna jambo ambalo linanitatiza Saana.
Mimi katika maisha yangu Nina ndoto ya kufunguwa restaurant nyingi katika Bara la Africa iyo ni ndoto yangu
But Kuna jambo ambalo...
Kama kuna mtu aliwahi kuwasikia au mwenye uelewa mkubwa juu ya uwekezaji wa "UTTAMIS" naomba atupe elimu maana nasikia ni uwekezaji mzuri sana kwa malengo ya baadae na haijalishi kipato cha mtu
Jamani Mikopo imeyumbisha biashara yangu Nikiwaza naumia hasa kuzingatia mda na mapambano niliyofanya kupata mtaji..
Kwa kua unaanza biashara Unaona ili kupata wateja na kupunguza ushindani na...
BIASHARA KATIKA UCHUMI
Katika nchi yetu ya Tanzania kwa mwaka pekee idadi ya wahitimu wa vyuo vikuu inazidi 1,000, Apo ni chuo kimoja kwahiyo tukiangalia idadi ya vyuo vyetu nchini tukijumlisha na...
Wajumbe za muda huu aicee.
Kuna motherboard circuit (PCB) module fulani hv nataka kuinunua kutoka ebay ila sasa hawatumi tanzania nimetafuta courier na transporting agency nimekosa naomba...
Jamani mimi ni mkazi mpya wa jiji la Dodoma, nilipata wazo la kufungua biashara ya kuuza maji ya bomba, (yaani nitengeneze system ya kuyakusanya kisha niwauzie watu watakaokuwa wanakuja kuchota...
MAZINGIRA BORA YA BIASHARA KUCHAGIZA UKUAJI WA UCHUMI.
Unapozungumzia uchumi imara wa nchi huwezi acha kuzungumzia biashara kama kiungo muhimu katika sekta hio kwani shughuli nyingi zinategemea...
Kwa wazoefu, tunaomba mchangie nasi uzoefu wenu kwenye njia hii ya kudunduiza pesa kwa kununua fedha za kigeni mathalan US Dollar, na kuja kubadilisha pindi unapifikisha lengo...
Karibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.