political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 296
- 794
Habari Wana JF
Nahitaji kununua mahindi Kwa wakulima mikoani na kuwa nasafirisha kuyaleta dar au mikoa yenye uhitaji zaidi.
Naomba kujua niwe na vibali gani na vinatolewa na Taasisi gani?
Sihitaji usumbufu wa njiani wakati mazao yanasafirishwa Ndo Maana nataka niwe na vibali vyote vinavyoniruhusu kusafirishamazao .
Tayari Nina kampuni iliyosajiriwa BRELA, Je nitafute vibali gani vya kampuni?
Asante in Advance