Nyumba inauzwa kariakoo

Nyumba inauzwa kariakoo

kopiko4444

Member
Joined
Sep 8, 2021
Posts
14
Reaction score
6
Nyumba inauzwa kariakoo ina angaliana na soko

Bei bilion 2 maongezi yapo

Kwa maelezo zaid 0766112170

Karibuni sana View attachment 1951640
Screenshot_20210923-101515.jpg
 
Hahahaha!! Labda unamaanisha billion 2 ya zimbabwe
 
Yani mtu uweke bilion 2 sehemu ambapo hakuna mfumo wa Fire , Mitaa mibovu! Sewage system mbovu.

Tembeeni muone , Marekani unanunua Majumba kwa hiyo hela miji mizuri unakula Kodi vizazi na vizazi.
Fikra nzur mkuu
 
Yani mtu uweke bilion 2 sehemu ambapo hakuna mfumo wa Fire , Mitaa mibovu! Sewage system mbovu.

Tembeeni muone , Marekani unanunua Majumba kwa hiyo hela miji mizuri unakula Kodi vizazi na vizazi.
tatizo la tanzania madalali wengi,unaweza kuta wapo madalali kibao kila mmoja anaongeza chake
 
Uza kwa bei rafiki, lasivyo jiji litakuhamisha kwa hasara katika mambo ya mipango miji.
 
2bil bei ya kawaida sana kwa kariakoo, tena bei hiyo ni nafuu sana,
Bila kukoaea utakapoinunua Leo hii,ukaihifadhi tu,kwa jinsi uchumi unavyofunguka kwa kasi baada ya miaka miwili tu,utaiuza bil 3.5
#Yule Jamaa aliua kabisa uchumi wa taifa hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom