Skinny jeans za kike mtumba grade A zipo DSM!

Ngondonyoni

Senior Member
Feb 16, 2016
120
74
BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam.

Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali.

Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu!

Usipoteze nafasi, ondoa umaskini.

Hatuuzi rejareja kwa sasa

Kwa Maelezo zaidi DM!
 
  • Thanks
Reactions: _ly
boss Ungeweka na picha maelezo tu hayajitoshelezi
Zitakapofika wiki hii nitapiga picha lakini ni sawa na hizi
images2.jpeg
descarga2.jpeg
descarga1.jpeg
 
BALE ZA SKINNY JEANS ZA KIKE MTUMBA GRADE A zinakuja wiki hii Dar es Salaam.

Kila bale ina jeans kati ya 100 mpaka 115, ya rangi mbalimbali.

Bei ya kutupa, bale moja kwa jumla laki 4 na themanini tu!

Usipoteze nafasi, ondoa umaskini.

Hatuuzi rejareja kwa sasa

Kwa Maelezo zaidi DM!
Jamii Forums ina wanachama wengi ambao wanaingia humu kama wageni ukilinganisha na sisi wenye ID's.

Sasa huoni unajinyima mwenyewe fursa kwa kutaka wateja wakufuate (DM sijui ndiyo pm!!) Badala ya kuweka mawasiliano yako ya simu!!
 
Asante sana kwa wazo nzuri. Ila nimeamua nisiweke, kwa sababu maalum ya kimarketing. Serious people will DM, direct message, or PM personal Message. E-commerce in a mikakati mingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom