Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ukimsikiliza huyo bwana hapo analalamikia gharama za kusafirisha container 40 fit umefikia mpaka US dollar 2300-2500 wakati bandari ya Mombasa ni US dollar 1300 anasema kuna hatari ya wateja...
8 Reactions
86 Replies
8K Views
Ndugu wanajamvi, mimi nimejiajiri ktk tasnia ya ufundi ( mechanical Engineer) nimefanya ktk tasnia hii kwa miaka 10 sasa, kwa sasa nataka kushea changamoto na mtu mwingine mwenye nia ya dhati...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
SAFARI YA KUTAFUTA PESA. TUMIA NGUVU ZAKO KUPATA PESA. Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, walisema wahenga. Kubagua kazi ni kauli za wasio na maono. Kuishi bila kazi na kuridhika kuwa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI) Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri Na asilimia 15% ya watu wote duniani...
7 Reactions
15 Replies
4K Views
1.0 Utangulizi Kipeperushi hiki kinatoa maelezo kuhusu taratibu muhimu ambazo watumishi wa umma wanatakiwa kuzingatia wanapohitaji msamaha wa ushuru kwenye vyombo vya usafiri (Magari na...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari za asubuhi ndugu zangu. Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni. Naomba...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Naona ni fursa ya kujiajiri kupitia kutoa huduma ya kuonyesha mpira, masumbwi, tamthilia pamoja na michezo mingine pia hata matukio mbalimbali, Je mchanganuo wa mtaji wake upoje?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahani wakuu naomba kuuliza kuhusu biashara ya phone accessories kwa mwenye uzoefu inahitaji mtaji kiasi gani na vitu gani muhimu kuanza navyo.
5 Reactions
17 Replies
9K Views
Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi. Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wadau Nina visenti kidogo nataka kuwekeza nikuze mtaji. Biashara ni nyingi ila nahitaji ambayo sio pasua kichwa sana. Kuna hii biashara ya pembezoni mwa barabara ya tairi za magari...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari za mchana wana JF, Nilikuwa naomba kujua hoteli za Wachina kwa hapa dar es salaam zinapatina maeneo gan? Kama unajua hotel yoyote ya wachina na mahala ilipo unijuze
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Waungwana niwatakie jumapiki njema! Mimi ni mojawapo ya waliokuwa wanasubiri Kwa shaukukubwa Vitabu vioya vya Historian alivyoekeza Mh.MAgufuli viandikwe...! Najua vilikuwa kwenye hatua ya mwishi...
1 Reactions
3 Replies
814 Views
Naombeni mwenye Proposal au Business Plan ya Kuendesha Shamba la Parachichi kwanzia kununua shamba, kuotesha mpaka kuvuna na boari/warehouse ijengwe shambani kwa ajili ya kuchakata na kufanya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Inashangaza wataalam wetu Tena wakiongozwa na professor maji ya mto Mara kuharibika sababu ni mavi ya ng'ombe Kweli wataalam wetu wameamua kutuuza hivi hivi kwa mabeberu hapana tuseme no...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Moja ya changamoto ambazo zinasumbua biashara ndogo ni imani ambazo wafanyabiashara wanazo. Kuna dhana moja ipo kwenye mitaa yetu kwamba kuna watu ambao ni chuma ulete. Watu hawa wanapokuja kwenye...
8 Reactions
36 Replies
9K Views
dell inspirion 15_3567 intel core (Tm) i7 7th generation ram8 gb ddr4 Ssd512gb amd radion (Tm) r5 m330 total video memory 6gb 15inches very slim & clean condition refab installed games gta5...
1 Reactions
2 Replies
762 Views
Wakuu ningependa kujua list ya items zinazo hitajikwa kwa ajili ya kufanya process ya car wash.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali, kabla ya kutuhamisha maeneo tunayofanyia biashara zetu ndogo ndogo mfanye kwanza utafiti wa huko mnakotupeleka. Sisi wafanyabiashara ndogo ndogo tumekuwa kukiingia kwenye mgogo na...
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Back
Top Bottom