Biashara za phone accessories

Mkuu,
Mtaji ni ulichonacho mtaji wowote unaweza kuanza na hata kama ni laki 1

Vitu muhimu ni;

Glass protectors
Cover za simu
Chargers
Earphones
Batteries
USB
Memory card
Flash
nk
Unaweza kuchukua idadi kutegemea na mtaji wako.

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Ushauri mzuri sana, halafu pia aangalie sehemu iliyo changamka ndio aweke goli hapo kama aitaji kutembeza.
 
Vilevile itakupasa utapate taarifa sahihi kuhusu ubora wa vifaa vya simu unavyotarajia kuvifanyia biashara kuendana na wateja ambao unawalenga.

Soko la vifaa limejaa vifaa vyenye majina ya "brand" tofauti za simu, vipo vyenye bei ndogo na kubwa, vipo ambavyo ni maarufu na zisizokuwa maarufu pia, vipi ambavyo ni "favourite" kwa vijana, lakini changamoto kubwa sokoni ni ukweli ya kwamba vipo ambavyo ni "original" na vipo "fake" pia.
 
ohooo ni vp kuhusiana na faida kama unauziefu japo lazima nikutane na wadada live nipate taarifa kamili
 
Kwa jinsi wabongo wengi walivyo, wanapenda vitu kwa bei chee. Kwa hiyo chagua mzigo wa vifaa mchanganyiko, tafuta vichache "original" na mwingi yawe ni mafamba.

Vifaa "original" utawalenga wajanja wachache ijapokuwa havina faida kubwa, lakini mzigo mwingi uwe ni wavmafamba kwa ajili ya wale wasiojielewa, na hapa utapiga faida kubwa.

Soko la mafamba lina vifaa maarufu za S∆MSUNG badala ya SAMSUNG, NKIA badala ya NOKIA n.k. ambavyo wateja wengi huvipenda.
 
Back
Top Bottom