Hii biashara sasa tatizo la umoja kwa wamiliki wa semi linaanza kuzaa matunda moaka madalali wanaanza kufanya unyonyaji kweli DRC Transit dalali anataja bei dola 4000 wakati Lusaka transit bei...
Habari wana Jamvi.
Leo nimejifikiria kuhusu Biashara ya tofali naamini kila mtu kwa nafasi yake ameshiriki katika biashara hii. Leo ningependa tuelezane mambo kadha wa kadha kuhusu biashara hii...
Wadau habarini za majukumu?
Naomba wazo zuri la kufanya biashara Wilaya Uvinza-Kigoma je ni biashara gani nifanye nijikwamue kimaisha wandugu?
Mtaji wangu nilionao ni Tshs. 3 milioni.Karibuni kwa...
Habari zenu wadau,
Katika mitandao ya kuuza na kununua vitu kwa njia ya kielekroniki (online markets) kunaambatana na hatari nyingi sana na hasa ukiwa unanunua vitu kwenye mitandao iliyojaa watu...
Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa.
Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala...
Kila sehemu kuna utamaduni wa malipo.
Kuna sehemu unawalipa kwa mwezi na kuna sehemu mnakatana kwa kila mtakalo liosha, etc
Sasa sijajua utamaduni wa malipo kwa upande wa dsm, vijana wanalipwa...
Mpaka leo tarehe 16/03/2022, jumla ya gesi yote iliyogundulika huko kusini mwa Tanzania ni 57 tcf (Trillion cubic feet).
Bei ya gesi asilia (Natural gas) kwenye soko la New York Leo 16/03/2022 at...
Wakuu habari zenu.
Poleni na majukumu pia ninalo jambo ambalo natamani sana mnisaidie nahitaji kufahamu upatikanaji wa bei za jumla za jezi za timu mbali mbali.
Ili nifanye biashara hii
Mimi sijawahi kubet, sasa juzi nikaona nijaribu. Nikawapa Yanga ushindi, Man City na timu za ligi mbalimbali duniani. Nikaweka sh 2000 ndiyo wakazidisha sijui Mara 50 odds. Utaniutani nikapata...
Habarini business moguls!
Tupeane information kuhusu uwekezaji katika sekta hizo mbili, nini kinahitajika, faida na hasara zake ( changamoto) kwa ujumla!
Na je kuna project gani zilizopo...
Ujamaa shop
Kama una mtaji mdogo, unaweza kufanya biashara hii huku ukijitengenezea 'brand' 'ujamaa shop'
Tembelea vijiji 2 au zaidi kutokana na nafasi uliyonayo
Anzisha maduka madogo madogo...
Huku kwetu sabuni ya kufulia unapimiwa kwenye kikombe cha chai kama huwezi kununua ndoo au box zima. Vile vitenge vitatu vinavyouzwa Karume na Mnazi Mmoja huku vinauzwa kipande kimoja. Ukiweza...
MONOPOLY
Neno monopoly maana yake ni muuzaji mmoja (single seller).
Huu ni muundo wa soko ambao muuzaji wa bidhaa ni mmoja tu.
Vitu vinavyoweza kusababisha kuwepo kwa monopoly ni kama...
Wafugaji wengi hupenda sana kuwachapa ng'ombe wanapowaswaga.
Hii imesababisha pindo ng'ombe wanapochinjwa kwa ajili ya nyama kuharibu ubora. Hivyo nyama nyingi sehemu ya fimbo zilipotua huwa...
Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna.
Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi...
Palipo na nia pana njia
Ni ndoto yangu ya muda mrefu ya kuwa na kampuni kubwa ya mabasi ya usafirishaji abiria.
Hivyo basi pamoja na maombi yenu ninaomba pia tusaidiane kushirikishana je ni ruti...
Biashara ni ngumu hasa usiposimamia mwenyewe.
Kuna rafiki yangu wa karibu nlkua natamani nipate sehemu nzuri nimuweke kwa ajili ya ufugaji jambo ambalo lingekamilika mwaka huu.
Cha kushanganza...
Wakuu nimekuwa nikipokea ujumbe mwingi sana toka Voda unaotaka nijiunge na huduma yao ya bima.Jana wakaenda mbali zaidi wakanipigia simu,walisema wana bima ya Ajali,Kifo,na matibabu.
Nilivutiwa...
Wanadau
Naomba kujua majina ya maa agents wa kisafirisha mizigo kutokea china kuja Tanzania.
No zao
Ofisi zao kwa hapa Tanzania
Na bei zao mara nyingi zikoje?
Nawakilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.