Wakuu habari za asubuhi,
Naomba kujua anayefanya biashara ya Dagaa wa Nyama wale wa Zanzibar. Vipi, hapa kwa Dar soko lipoje wanapendwa?
Nikitaka mzigo na chukulia wapi kwa jumla na je, mtaji...
Hello wana Jamii forums,,,
Kwanza nianze kwa kuwasalimu,,na kuwapa pole kwa mihangaiko ya hapa na pale...Kwa kifupi mimi ni kijana mpambanaji,,nina deal na uchimbaji wa feldspar huku maeneo ya...
Niaje Mabroo na Masista. Maisha yanaendelea poa, mimi niko Kahama hapa kuna mishe nilikuja kufanya ila mda siyo mrefu nageuza kurudi A Town, aka A City, Geneva of Africa, City of...
Wakuu kwema?
Kama mnavyojua kipindi Hiki ni kipindi Cha mfumuko wa hatari duniani more kutokana na changamoto mbalimbali za kidunia
Sasa tulioweka akina zetu Benki thamani yake zinaporomoka huku...
Hello Wanajukwaa wa JamiiForums hivi karibuni tumeshuhudia bidhaa zote muhimu zikipanda bei kwa kushtukiza yaani imekuwa kama surprise ya kila siku. Bidhaa kama mikate, mafuta- unga- yaaani hata...
Lengo kubwa la mataifa ya magharibi ni kuiangusha kiuchumi Urusi ili hatimaye idhoofike kijeshi.
Kufikia lengo hilo walimpata rais msanii na mchekeshaji Zelensky wa Ukraine, ambaye walimvimbisha...
Kuna uwezekano ukaanza biashara na mtaji wa laki 1 na uku bado unasoma.
Dah na kama upo ni biashara gani maana maisha ya kuwa tegemezi some time yanachosha. kama inawezekana ushauri wako plz na...
DEFLATION
Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka.
Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki...
Nipo katika moja ya nchi za Ulaya kikazi na nimebahatika kuingia katika duka kubwa la Costco.
Humo katika pitapita kwenye sehemu ya groseries nimekuta kahawa ya kutoka Tanzania sehemu ya Lyamungo...
Tanzania imekuwa na tatizo kubwa sana la ajira (unemployment) hasa kwa vijana wahitimu wa vyuo vikuu, imefikia kipindi vijana wengi walio mavyuoni kudhani siasa ndo njia ya kutokea kimaisha...
Kumekuwa na mfumko wa bei kwa vitu mbali mbali ikiwemo bidhaa za nyumbani kama vile mafuta ya kupikia, mchele, unga na sukari.
Uzi huu utakuwa maalumu kuhabarisha stage tuliyofikia katika eneo...
Mafuta ya kupikia sasa yanaenda kuwa anasa kutokana na kupanda kwake bei sijui tatizo lipo wapi? Tuambie kwenye eneo unalo kaa mnanunua bei gani kwa ndoo?
Wandugu hongereni kwa kazi.
Natarajia kuanza biashara ambayo itahusisha kusafirisha mizigo kwenda kwa wateja zangu waliopo sehemu mbalimbali hapa TZ yaani mikoani, wilayani na hata vijijini. Kuna...
Habarini wapambanaji wenzangu leo katika pitapita zangu nikakutana na ndugu mmoja akaanza kunipa maneno ya kunikatisha tamaa, kwamba biashara niliyofungua haitofika popote kisa nimefungua biashara...
Naomba ushauri bidhaa ipi ya mtumba ni inatoka na ina faida zaidi.
1. Magauni
2.Nguo za watoto mix
3. Mashuka
4.Mashati
6.Sidiria
Na vipi bei ya belo kwa bidhaa hapo juu?
Jaman, naombeni kujua kwa mwenye kujua bei ya pikipiki mpya aina ya SINORAY na HOUJUE dukani kwa sasa ni shilingi ngapi, na kwa mwenye connection ya maduka ya hizi pikipiki kwa Dar naomba anicheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.