Jojo123
JF-Expert Member
- Jan 31, 2013
- 437
- 715
Naombeni mwenye Proposal au Business Plan ya Kuendesha Shamba la Parachichi kwanzia kununua shamba, kuotesha mpaka kuvuna na boari/warehouse ijengwe shambani kwa ajili ya kuchakata na kufanya Packaging kwa ajili ya transport to abroad.
Natanguliza Shukran
Natanguliza Shukran