Kwa riport ya mto Mara tunaomba rais aunde tume ya wataalam kutoka nje

madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
2,453
2,849
Inashangaza wataalam wetu Tena wakiongozwa na professor maji ya mto Mara kuharibika sababu ni mavi ya ng'ombe


Kweli wataalam wetu wameamua kutuuza hivi hivi kwa mabeberu hapana tuseme no nakuomba mama ili watu wa Mara wawe na aman na serekali yako nakuomba Kama mtanzania chunguza hili suala kwa makini

Inawezekana waziri kadanganywa na wataalam wake au na yy anahusika kwenye huu udanganyifu .athari ya hili jambo ni kubwa Sana kwa wananchi na mifugo wanao faidi matumizi ya mto Mara

Kwa nijuavyo Mimi kinyesi Cha wanyama pia ni chakula Cha samaki Sasa kwa nn iwe ni sumu?
==
Pia soma Mbunge Kasalali Mageni: Nchi hii haiwezi kula Ripoti ya kupikwa. Tume iliyokwenda Mto Mara ichunguwe

 
Ata ungekuwa wewe cheque ya mzigo mzuri iko mfukoni kwako, ungetoa ripoti gani. Ungesingizia ata vyura wamekojoa sana
Yani mtazania yuko radhi aweke rehani maisha ya wananchi hata milion 3 kwa malipo ya mils 300 hivi. Mwingine anauza rasilimali kabisa kwa malipo ya v8 na mtoto wame kusoma nje 🤣🤣
Only in Afrika. Ndio maana enzi za utumwa watawala walikuwa wanauza watu kwa kupewa sigara, vioo
 
Ni ajabu sana wakati kwenye ufugaji wa samaki tunaambiwa samadi inahusika kurutubisha chakula cha samaki sasa iweje iwe sumu kali ya kudhibiti uwingi wa maji na kuua samaki, kwa hili nami naungana na kusema tumepigwa na kitu kizito, hii report isitoke nje ya mipaka ya Tanzania.
 
Yani mtazania yuko radhi aweke rehani maisha ya wananchi hata milion 3 kwa malipo ya mils 300 hivi. Mwingine anauza rasilimali kabisa kwa malipo ya v8 na mtoto wame kusoma nje
Only in Afrika. Ndio maana enzi za utumwa watawala walikuwa wanauza watu kwa kupewa sigara, vioo

Ndio hivyo tumejengwa katika dhana mbovu, serikali inachangia umasikini wetu hadi watu wakipata nafasi wanawai kuiba
 
Kwani hawa maprofesa waliambiwa malisho ya hao ngombe yapo mtoni( Mara) 24/7Jiwe

Hapo Tutamkumbuka Jiwe
Nakumbuka Akifungua Flyover Tazara Alimwambia Yule Dokta Aliyeandika Andiko Kuwa Rufiji Bwawa Lisijengwe



Jiwe Alisema Wazi Wewe Dokta Uliyeandika Tusijenge Bwawa Ukabadilishe Haraka Vinginevyo Tutakufanyizia Yaani Tukijenga Tunaharibu Mazingira
Mbona Ng'ombe Wanakunya Humo Humo Na Maisha Yanakwenda



Jiwe Alichefukwa Andiko La Dokta Liliposema Wasijisaidie Humo Waende Kilometers 15
Akasema Tutakufanyizia Haraka
Huu Ni Upuuzi
 
Yangu macho
IMG-20220320-WA0009.jpg
 
Kwanini watu wasifanye uchunguzi huru wenyewe?
Tukachote maji na kupeleka kwa wataalamu private tujue maji yana nini unajiridhisha unakuwa na hiyo amani
Au mnasemaje?

Kama tumeuzwa sawa maana uongo na unafiki ni part of our daily life
 
Back
Top Bottom