Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Zifahamu wilaya 5 kwa uwekezaji na biashara kanda ya kaskazini....Kilimanjaro, Arusha, Tanga na Manyara. 1. KARATU. Hii ipo namba 1 sababu kuu ni kiungo cha utalii kwa nchi ya Tanzania na pia ni...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Kama lilivyo bango la kutangaza maonyesho ya biashara ya kimataifa/ Dar es Salaam International Trade Fair (DITF) almaarufu SABASABA. Nimejiuliza ni kwamba waaandaji walikosa kabisa picha ya mtu...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali. 1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo? 2...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi natafuta pempers ya mtoto mwenye kilo 28. Msaada tafadhali.
2 Reactions
37 Replies
1K Views
Naomba kujua ukinunua nyumba, zile garama zinazotumika kuandaa nyaraka au kumlipa mwanasheria zinajumlishwa kwenye gharama za ununuzi au ni matumizi gani?
0 Reactions
6 Replies
557 Views
Naongea sana mambo yasio serious humu jukwaani ila ngoja nifunge mwaka kwa kuongea sense kdg. Kuna nyuzi humu zinaongelea mambo ya UTT na Bonds, niwaambie ukweli haya mambo ili ikulipe kwa zile...
16 Reactions
13 Replies
2K Views
Binafsi huwa natumia zaidi Halopesa ili kuunga vifurushi katika laini yangu. Leo nikahitaji kunua vocha ya halotel ili nijaze salio la kawaida, nilivyoingia katika duka moja ili kufanya manunuzi...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
BEI YA PAMBA JUU,TOKA TZS 810 FY2020|21 HADI TZS 1,800 FY2021|22,KILA KONA YA NCHI NI SAMIA, SAMIA, SAMIA Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg FY 2020|21 mpaka Tshs 1,720-1,800/kg...
9 Reactions
106 Replies
12K Views
Mwenye kujua ufugaji wa kuku za mayaye sehemu ya pwani hususani Dar es salaam kati ya kuku 10,000 hadi 50,000 tafadhari atuelekeze tuende tukajifunze kabla ya kuanza uwekezaji tusije tukapoteza...
0 Reactions
5 Replies
479 Views
Hii ni makala maalumu kwa ajili ya kuweka fursa adhimu zilizopo kwenye mikoa yote iliyopo Tanzania. Zipo fursa ambazo zinajulikana na kila mtu, ila hapa napendekeza tuorodheshe fursa mbalimbali...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mdogo bado, ila nataka nijiajiri mwenyewe kwa manufaa yangu ya badae Niko hapa kuuliza ili nijue kiundani zaidi kuhusiana na biashara ya mafuta ya kupikia Je soko lake lipoje? Ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini za wakati huu wana jamvi. Hope this article finds you in a good mood! Leo natamani sana kufahamu mifumo hasa ya kitehama (digital systems) ambayo unaitumia kurahisisha majukumu...
1 Reactions
6 Replies
885 Views
Ni muhimu kusoma: Siku za hivi karibuni, nimekua nikipokea simu za watu wengi kutoka Tanzania bara hususan mikoani. Hii imetokea baada ya kupost makala moja inayoelezea kuhusu bei za bidhaa za...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mteja ni mfalme ila kuna wakati naye huzingua na kujikuta kajivua au kuvuliwa ufalme wake na kuonekana kenge tu. Sababu zinaweza kuwa hizi. 1. Mteja anayeona duka linafanya SALE ila bila aibu...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Naomba kuuliza: Hizi rasilimali zote za milima na mawe je tunapondea tu kokoto? Au kuna kiwanda kinatengeneza bidhaa kama hizi. Tungeweza kutumia fursa kutengenezea fanicha imara sana. Mambo ya...
1 Reactions
3 Replies
570 Views
Wakuu, Nimeona haya madude siyaelewi nataka siku moja niwe mmoja kati ya wawekezaji au wana hisa katika haya mavitu. Je, mnaruhusiwa kuwekeza kama kikundi?
0 Reactions
6 Replies
712 Views
Wauzaji na wasambazaji wa Portia na Bio Oil.
0 Reactions
2 Replies
254 Views
Wakuu habari? Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja, elfu mbili, pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe...
13 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwema Wakuu! Kuna aina tatu za Maskini. 1. Maskini wa kutupwa (Fukara) 2. Maskini wa kawaida 3. Maskini aliyechangamka. 1. Maskini Fukara Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao...
60 Reactions
466 Replies
21K Views
Back
Top Bottom