Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe.

Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao, walionekana kufahamina na wahudumu wa lodge.

Nikiwa chumbani hapo nilipigiwa simu, aliepiga alikuwa ni jamaa flan tuliwahi kusoma wote shule moja ila ni miaka mingi ilipita, aliitafuta namba yangu kwa class mates wengine, baada ya kujuliana hali akaniambia kuwa hao jamaa ni rafiki zako au, mi nikamwambia kuna mishe tu nmekuja kupiga, ndio akanipa a-z za hao majamaa kwamba ni matapeli na majambazi, kuna mwengine nae aliwahi kuja kwa style kama yangu akalizwa. aliniambia hakutaka tuonane mwanzoni alipoona nipo nao.

Huyo jamaa nilimtoa laki 2, Usiku tukapanga niondoke hapo.

Yani hapo ilibidi niondoke kininja, nilikata umeme wa lodge kwenye main switch, Mlinzi akawa anawapanga wahudumu ili nipate njia ya kuchomoka bila wao kujua, nikafanikiwa kuchomoka, Teksi moja kwa moja wilaya nyingine kabisa.

Usiku nilipigiwa simu na jamaa kwamba mida ya saa tano kuna watu wanne walikuja hapo huku walioniketa wakiwa nje kwenye gari, waligonga sana hodi hadi wakafungua mlango kukuta chumba hakina mtu.

wale wa kwenye gari waliingia nao walianza kuwafokea wale wahudumu, mlinzi nae akawaambia hakuniona,

Walienda nyuma ya lodge huko, mlinzi nae akaenda kusikilizia nyuma ya ukuta basi wakawa wanaambiana kuna mtu kamuuzia huyu fara ramani, wamekosa pesa ndefu, n.k.

Kesho ndio wanapiga simu eti kwamba walikuja asubuhi lodge ila hawakunikuta,

Daah!!!
 
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate.

Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao, walionekana kufahamina na wahudumu wa lodge.

Nikiwa chumbani hapo nilipigiwa simu, aliepiga alikuwa ni jamaa flan tuliwahi kusoma wote shule moja ila ni miaka mingi ilipita, aliitafuta namba yangu kwa class mates wengine, baada ya kujuliana hali akaniambia kuwa hao jamaa ni rafiki zako au, mi nikamwambia kuna mishe tu nmekuja kupiga, ndio akanipa a-z za hao majamaa kwamba ni matapeli na majambazi, kuna mwengine nae aliwahi kuja kwa style kama yangu akalizwa. aliniambia hakutaka tuonane mwanzoni alipoona nipo nao.

Huyo jamaa nilimtoa laki 2, Usiku tukapanga niondoke hapo.

Yani hapo ilibidi niondoke kininja, nilikata umeme wa lodge kwenye circuit breka, Mlinzi akawa anawapanga wahudumu ili nipate njia ya kuchomoka bila wao kujua, nikafanikiwa kuchomoka, Teksi moja kwa moja wilaya nyingine kabisa.

Usiku nilipigiwa simu na jamaa kwamba mida ya saa tano kuna watu wanne walikuja hapo huku walioniketa wakiwa nje kwenye gari, waligonga sana hodi hadi wakafungua mlango kukuta chumba hakina mtu.

wale wa kwenye gari waliingia nao walianza kuwafokea wale wahudumu, mlinzi nae akawaambia hakuniona,

Walienda nyuma ya lodge huko, mlinzi nae akaenda kusikilizia nyuma ya ukuta basi wakawa wanaambiana kuna mtu kamuuzia huyu fara ramani, wamekosa pesa ndefu, n.k.

Kesho ndio wanapiga simu eti kwamba walikuja asubuhi lodge ila hawakunikuta,

Daah!!!
Haujasema "dili" ya nini na wapi? Inaisadia nini jamii hii story yako?
 
Hmm.. pole sana hapo ulicheza kama Chris Hemsworth au Liam Neeson. Binafsi sijakutana na msala wa namna hiyo
 
Mungu aepushie mbali it's so deadly, thanks Mungu siku hizi any bad move the body tells me instantly
 
Back
Top Bottom