Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mwenye ufafanuzi tafadhali kuhusu bank yenye riba nafuu kwenye urejeshaji wa mkopo kati ya bank zifuatazo: NMB CRDB NBC
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mfano ni biashara ya mazao ni nzuri sana ukiuza nje ya nchi mfano kenya au sudan kusini, ila zimejaa umafia, rushwa, kufanyiwa maamuzi na wakubwa, n.k. KUJUANA NA WAKUBWA / WAZEE WA MCHINJO Ni...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
MBUNGE JANEJELLY ACHANGIA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA, MUONE HAPA Mbunge wa Viti Maalumu, Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini, Mhe. Janejelly James Ntate ameunga mkono hoja na maoni ya Bajeti ya...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Euphoria a feeling or state of intense excitement and happiness. Habari wakuu, Hii ni Dira ya maendeleo binafsi kwa wapambanaji wote. Biashara inayozingatia uwekezaji ktk kutoa huduma za...
0 Reactions
9 Replies
781 Views
Habari zenu wapendwa, Mimi ni kijana wa miaka 26, Nimesomea Bachelor of Human Resource Managment nmemaliza mwaka jana 2023 lakini sijabahatika kupata ajira. Nilikuwa naomba mnishauri jambo. Nina...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nahitaji kufungua biashara ya kuuza mafuta ya kula Yale ya kupikia Mtaji nataka kuanza na dungu 50 mwenye kufahamu changamoto ya biashara hiii ushauri please
1 Reactions
12 Replies
3K Views
On point, Mimi sio mkazi wa muda mrefu hapa mwanza wazoefu wa hili Jiji tupeni mbili tatu za hili Jiji hasa kazi na fursa zilizopo kwa sisi mabachera
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Wanajamvi, Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku Chunya, Mbeya. Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40...
25 Reactions
334 Replies
18K Views
Mbunge wa Momba Condesster Sichalwe ameishauri Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Uchukuzi waone namna ya kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ili kujenga barabara...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Naomba kujua bei kuu ya kilo moja ya samaki aina ya sato wa ziwa victoria, bei yake kwa Dar es Salaam na Dodoma ni shilingi ngapi kwa kilo moja?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamii Forum : Biashara 📊 Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum..... Tutaiita MBA ya Mchongo. Masters of Business...
1 Reactions
0 Replies
794 Views
Habari ya wakati huu wakuu. Nimerudi tena ili tuweze kukumbushana baadhi ya mambo ambayo ni muhimu katika uendeshaji wa kampuni zetu Kufikia leo tarehe 4 mei tumebakiwa na takribani siku 57...
1 Reactions
6 Replies
636 Views
Habari zenu wanajamvi! Nahitaji msaada wa kuandika mpango wa biashara. Kwa sasa sina pesa ya kulipia. Nitakuwa vizuri kifedha mwezi July. Nimeandika kwa 90%, mpango mzima. Mpango wangu wa...
0 Reactions
0 Replies
531 Views
Naomba kujua utaratibu wa kuendesha ofisi ya welding na seremala kama boss si fundi wa hizo fani,jinsi ya kuwalipa welders na mafund wengne. (NB mashine na vifaa vingne vyote vya boss)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Hakika hii itabakia katika kumbukumbu zangu,nimejalibu kufupisha tiririka nayo. Katika harakati zangu za kazi nilifanikiwa kupata dili flani niliingiza pesa yakutosha nilimtembelea...
70 Reactions
180 Replies
39K Views
LEO BUNGENI - Wizara ya Viwanda na Biashara Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameongelea bidhaa zinazozalishwa Mkoani Mara, na umuhimu wa ujenzi wa viwanda zaidi ya kumi...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Nayashauri haya makampuni makubwa ya simu kunzisha fixed account ambazo tutakua na uwezo wakuweka pesa tu bila kutoa hata iwe mvua liwake jua kwa kipindi cha mwaka na zaidi. Mteja apewe options...
12 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwaka 2023 kama unamalengo ya kufanya jambo lako na lengo lako ni kutumia kibubu kiwe cha bati au cha mbao, njia salama ya kuhifadhi pesa bila usumbufu ni kufungua accounts zifuatazo; Tigopesa...
10 Reactions
22 Replies
6K Views
Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom