Natumaini mko poa
Nina miaka 24 sasa.nilitoka nyumbani nikiwa ni miaka 22 na kuamua kujitegemea ,niliondoka nyumbani nikiwa na elfu 50 mfukoni nikaenda geita kutafuta maisha.
Sikuwa na ndugu...
Mimi nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza kuku muda mrefu ila localy Yani masokoni kwa kununua kwa jumla na kuuza rejareja, katika kutaka kutanua wigo wa soko langu yani kupata wateja wapya...
Habari zenu wana group!
Nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa milioni 4.
Nahitaji kuuza vitu niagizie toka Dar es Salaam mi niko Tabora.
Naombeni ushauri nifanye biashara gani?
Habari ya majukumu wakuu. leo nataka tuzungumzie suala hili kidogo kwani nimekua nikipata maswali juu ya suala hili kwa watu kadhaa kutoka hapa JF. Wengi wamekua wakiuliza namna ya kuwatoa baadhi...
NISHATI: Bei ya Mafuta imeripotiwa kuendelea kushuka zaidi katika Soko la Dunia karibu miezi 4 mfululizo ambapo hadi kufikia Mei 4, 2024, Bei ilifikia kati ya Dola za Marekani $76.76 (Tsh. Tsh...
Habari ya mchana wakuu. Nimeona leo pia tuzungumze ama kujadili masuala kadhaa yanayohusiana na uendeshaji wa kampuni ili kuhakikisha kuwa kila kitu kipo sawa na hamuendi kinyume na sheria ili...
Waziri Mwigulu asema ‘Wajasiriamali kuna Bilioni 48 mtakopeshwa’
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema, kwa mwaka 2024, Mfuko wa Huduma Ndogo za Fedha – SELF unatarajia kutoa mikopo yenye...
Habarini wakuu,
Ninaomba kujua soko la mkaa mkoani Tanga na Dar es Salaam pamoja na bei! Nataka kuja kuuza mkaa katika mikoa hiyo!
Aliyetayari tufanye biashara tuwasiliane kwa 0687391885
UTANGULIZI:
SURA YA KWANZA
UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI
SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO
SABUNI ZA CHOONI
SABUNI ZA KUFULIA
SHAMPOO
UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE
MAFUTA YA MGANDO (Kupaka )
SEHEMU YA...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange (Mb) amesema kundi kubwa la vijana ambao ni Boda Boda Ni miongoni mwa...
India wanapiga sana pesa kwa ku export kinyesi cha ng'ombe.
Jamaa hawa especially Kuwait wanahitaji kilimo kikue kwa kasi huko na ardhi yao sio rutuba so wanahitaji mbolea ya kinyesi cha ng'ombe...
Naona watu hawajanielewa! ndio sababu ya ku edit post.
swali langu la msingi ni kwamba nataka kujua, kwa mtaji wa Tshs 100M.
Je naweza pata “Discount” kiasi gani? nataka kusikia makisio tu na...
SALAM ZA KUSHIKANA MIKONO.
Usipende Sana kusalimiana kwa kushikana mikono kwa sababu kupitia kushikana mikono huko utaibiwa nyota Yako watu wanauchawi huo ikitokea tu umeshikana mikono na mtu...
Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama"
Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa...
Hili suala liko wazi kabisa.
100% ya wauza mikaa hawana changamoto ya kuibiwa hela kwa jini wa chuma ulete.
Pesa zote za mauzo zinarushwa kwenye kindoo cha mkaa😅😅 mkaa ambao ndio ume combine...
Mbinu hizi zinapunguza utapeli sio full proof guarantee, kila muda zinagunduliwa mpya
Hapa niameorodhesha baadhi ya tahadhari za kuchukua ili kuliepuka hilo:-
01. Usiwe na haraka kwenye kufanya...
Habari wakuu, nawashauri msifanye makosa kama niliyofanya, ukipata pesa wekeza katika biashara na si majengo. Fursa nyingi zimenipita kutokana na mtaji kuwa mdogo sababu ya sehemu kubwa ya faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.