Uchakavu wa noti za fedha yetu Watanzania

ilisha juniour

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
714
217
Wakuu habari?,
Kwa watu walio makini wakishika fedha hasa noti mtagundua kuna tatizo sugu la uchakavu wa noti zetu hasa shilingi elfu moja,elfu mbili,pamoja na noti za elfu tano,hili kwa sisi watanzania wa kawaida tunaliona madukani,sokoni na kwenye dala dala,unapotoa fedha kununua bidhaa au huduma lazima urudishiwe pesa ikiwa na hali mbaya kwa maana imechakaa,kwakuwa jamii forums ni kijiji nna imani humu watu wa Benki kuu ya Tanzania wapo,nna maswali mawili la kwanza hamna bajeti ya kuchapisha noti zenye kiwango na kuziingiza kwenye mzunguko?,maana kwa uelewa wangu kidogo sana wa uchumi thamani ya pesa inaangalia pia durability yake(muda inaodumu kabla haijatolewa katika mzunguko kama chakavu),swali la pili kama mmeliona na kulielewa hili tatizo mnaweza litatua vipi?,karibuni kwa maoni na michango mbalimbali atleast nipate mwanga na uelewa kwenye hili tatizo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom