Tutatembeza bakuli mpaka lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tutatembeza bakuli mpaka lini?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by KiuyaJibu, Jan 17, 2011.

 1. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Naamini Tanzania kama nchi ni tajiri sana;lakini cha ajabu hatunufaiki na utajiri tulionao hadi sasa.Mfano mzuri hadi hivi sasa bajeti yetu ya nchi ni tegemezi na imefikia hatua bila hat ya aibu viongozi wa nchi hii ndani ya Bunge la bajeti wanatoa taarifa ya mapato na mojawapo ya vyanzo vya mapato ambavyo vinasaidia katika kuhakikisha bajeti ina kamilika ni utasikia "fungu kutoka kwa wahisani ni kiasi kadhaa na kiasi kilichobakia kinatoka katika mapato yetu ya ndani."
  Swali ni kwamba,tutaendelea kutembeza bakuli mpaka lini?Hii habari inanikera kwelikweli,sijui kwa Wtanzania wengine wanaichukulia vipi!
   

  Attached Files:

Loading...