Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna tetesi kwamba serikali mpaka sasa haijatoa mishahara ya wafanyakazi wake kwa mwezi ulioisha jana. Je hee inaweza ikawa ina-surpot uvumi kwamba nchi yetu ipo katika hali mbaya sana kifedha...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wana JF, naomba wale wenye kujua kuhusu suala wanisaidie kupata ufumbuzi wake, siku zijazo natarajia kununua gari lakini nimekuwa ninajiuliza kati ya kununua gari hapa bongo (showroom) na kuagiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wanaJF ninamizigo yangu michache kutoka nje sasa itatumwa kwa sea shipping. Nitahitaji kufuata mambo yapi ya kimsingi na gharama kiasi gani zitahitajika? Asante. Radio Producer.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TOKEA MBUNGE WETU MHE JOHN MNYIKA AANZE KUTUTETEA WANANCHI WAKE WANAONYANYASWA NA MAMALAKA ZA BARABARA, WATUMIAJI WENGI WA BARABARA HIYO YA KLA SIKU WAMEKUWA NA MAONI TOFAUTI KUHUSU UAMUZI WAKE...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada wenu maana inabidi nifanye haraka iwezekanavyo so nahitaji hasa mawazo na nini nifanye,mwaka 1997 nilinunua ekari kama 4 hivi mbezi ya morogoro road kipindi hicho kulikuwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kwa wale wajasiria mali nime pick hii toka speech ya Mh Raisi Kwa ajili ya kuziba pengo la miezi ya Mei na Juni kibali kimetolewa cha kuagiza tani 50,000 za sukari kutoka nje ya nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari ni confirmed na source ni mimi mwenyewe, Kuwa makini usibambikiwe noti mpya ambazo ni feki, wafanyakazi wa mabenki wanalijua hili! Siri ni kwamba notes counting machine za mabenki mengi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Natambua kuwa hapo kuna watu wenye msaada mkumba. Naomba msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba. Nyumba ipo tabata kisukulu, Migombani, Dar es Salaam.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya Diesel generators,Battery chargers,AVR-5,AVR-20 na zingine wasiliana nasi simu namba;0772740565 Pia mafundi wazoefu kwa kazi za generator installation na service wanapatikana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Spirits are likely to be calmed in the country following the report of an offer by Dowans (T) Ltd to waive aside its right to the 94bn/- settlement awarded by an international court of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa JF nimeamua kuachana na Tanesco na Bili kubwa za Luku,huduma mbovu ya mgao,usio eleweka,Osterbay umeme haukatiki(nimeona mara 2 mfululizo-u may correct me on this),mgao wa upendeleo...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Wana JF Nimedokezwa jioni hii kuna ESCUDO NEW MODEL (2002) inauzwa kwa bei nzuri - Tsh 12,500,000/=, kutokana na mmiliki wake kutaka kusafiri nje ya nchi siku ya jumapili (27/2/11).
0 Reactions
21 Replies
5K Views
I am working in a software, our products are very good, just have a try RZ Video Converter, it can convert any videos or audios between different formats with good quality, have a try by yourself...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Jamani waungwana hapa jamvini nimerudi tena. Hivi juzi juzi nimenunua lorry la tani 10 ambalo linafanya kazi zake kuanzia saa moja asubihi hadi saa 12 jioni? Huwa linapumzika mchana tu pale...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990,Diesel,Manual transmission 5 gear,LHD,Lina hali nzuri na linatembea linauzwa.Lina power windows,4WD,2.3lt engine,metal grey colour. Bei 3ml negotiable.Kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ZAIDI ya makontena 101, yalikamatwa hadi kufikia mwaka jana yakiwa na bidhaa bandia na bidhaa hizo kuharibiwa huku wahusika wakifikishwa mahakamani. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri, kuna kitu kinanipa changamoto sana, nina wazo la bishara ambalo nimelifanyia utafiti wa kutosha tatizo sina mtaji kwa maana ya cash/pesa taslimu Naomba msaada wetu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo jambo hili nalirudia hapa kwa mara ya pili. Hapa Golden Plaza "joint venture " wa NHC anatufanyia maajabu. anatutoza Huduma za umeme wa TANESCO, maji ya kisima chumvi tupu na walinzi wasio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nini maana ya kuwa mhitimu katika fani au sekta husika? Je Watanzania wasomi tunaelewa maana halisi ya kujishughulisha na fani/utaalamu fulani au kusomea fani hizo kama ijulikanavyo na wengi wa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kuna kamtindo ka watu kupenda kujionyesha kwa kuvaa labels - ati Gucci, Prada, Versace,dolce & Gabana etc..etc....tabia hii inanifurahishaga sana maana sijaelewa sana hii obsession inatokana na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…