Gari linauzwa - Ssangyong Korando K6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari linauzwa - Ssangyong Korando K6

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sidanganyiki10, Feb 28, 2011.

 1. Sidanganyiki10

  Sidanganyiki10 Member

  #1
  Feb 28, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Gari Ssangyong Korando Jeep KJ6 ya 1990,Diesel,Manual transmission 5 gear,LHD,Lina hali nzuri na linatembea linauzwa.Lina power windows,4WD,2.3lt engine,metal grey colour. Bei 3ml negotiable.Kwa mawasiliano piga simu namba: 0654 817575
   
 2. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #2
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkuu unapouza gari kuna details muhim unatakiwa utoe ili kumwezesha yule mhusika kutouliza maswali mengi, weka picha, tuambie limetembea km ngapi, la mwaka gani, kama ni auto/manual, petrol/diesel n.k nawasilisha
   
Loading...