Hati ya nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hati ya nyumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mrekebishaji, Mar 1, 2011.

 1. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ndugu zangu,
  Natambua kuwa hapo kuna watu wenye msaada mkumba. Naomba msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba. Nyumba ipo tabata kisukulu, Migombani, Dar es Salaam.
   
Loading...