Msaada wenu jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wenu jamani

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mchakachuaji192, Mar 1, 2011.

 1. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wana JF, naomba wale wenye kujua kuhusu suala wanisaidie kupata ufumbuzi wake, siku zijazo natarajia kununua gari lakini nimekuwa ninajiuliza kati ya kununua gari hapa bongo (showroom) na kuagiza japan wapi kuna ubora zaidi, swali likiwa ni kwamba je hizi show rooms za hapa kwetu bongo ni za kuziamini sana au ni bora tu kuagiza nje na kama show room zinaaminika naomba mnitajie zile ambazo zinaaminika,
  nawasilisha ndugu zangu
   
 2. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu wewe unapenda aina gani ya gari? na kuhusu kununua nje utapata gari bei rahisi lakini una uhakika gani na uimara wake lazima uwe namtu muaminifu udili nae mfano mimi nilinunua GX100 dubai kwa dola 2000 na kusafirisha $1200 inakuwa $3.2 nikalipa ushuru m2.7 na pt chaji lk1.5 hebu piga hesabu uone mzikiwake lakini bongo unaweza pata kwa m7
   
 3. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Thanks mkubwa mie napenda toyota wish nimeziona Kenya nilikuwa kule last week, kwa hiyo ni bora kununua hapa tu mkuu kama ulivyosema au lipi ni bora zaidi
   
Loading...