MSAADA: Hatua gani za kufuata unapotaka kuchukua mzigo bandarini toka nje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA: Hatua gani za kufuata unapotaka kuchukua mzigo bandarini toka nje?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Radio Producer, Feb 17, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Naombeni msaada wanaJF ninamizigo yangu michache kutoka nje sasa itatumwa kwa sea shipping. Nitahitaji kufuata mambo yapi ya kimsingi na gharama kiasi gani zitahitajika?
  Asante.
  Radio Producer.
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu .tafuta clearing agent bana .... sheria za sasa za port na TRA lazma utumie agent ambapo kwanza lazima afanye application ya PCVR (Provisional Classification and Valuation Report) na baadae utapata CVR kutoka kwa TISCAN/TRA ..... mimi sio agent lakini naagiza vitu nje na kufanya clearance kwa kutumia agent ...
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,212
  Likes Received: 5,615
  Trophy Points: 280
  si umpe contact zao wamsaidie ila wasimuue
   
 4. m

  majiyashingo Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 5. Z

  Zlatanmasoud Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa bei nafuu na uaminifu wa hali ya juu unaweza kuwaona S.M.RASHID INV. LTD. Wako Kariakoo simu 0773740340\0777418450
   
Loading...