Mteja wa haraka - escudo new model inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mteja wa haraka - escudo new model inauzwa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mgombezi, Feb 25, 2011.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wana JF

  Nimedokezwa jioni hii kuna ESCUDO NEW MODEL (2002) inauzwa kwa bei nzuri - Tsh 12,500,000/=, kutokana na mmiliki wake kutaka kusafiri nje ya nchi siku ya jumapili (27/2/11).
   
 2. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tumbukiza photos
   
 3. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Bahati zingine...ningekuwa mjini dar ningesha ivuta..bei chee sana.
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ikiwezekana weka picha tuone at least hali ya hiyo gari maana model si tatizo na inawezekana kaifuja na hailingani na bei hiyo aliyoitaja.
   
 5. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Nitadondosha picha muda si mrefu, bali iko kwenye good condition yaani haijatumika since imekuja. Jamaa ni mfanyabiashara wa magari, sasa muda wake wa kwenda JAPAN umefika na hiyo bado haijatoka.
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Umejuaje kama ni bei chee, wabongo bwana!! hivi unajua hata ingekuwa ya mwaka 2011 inawezekana isiwe bei chee kutokana na tathimini za kiufundi. Mimi mpaka niione alafu nimuite mtaalamu then nitajua kama ni bei chee au la!
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Fundi nae akikuingiza chaka...kama imetoka imeshakachuliwa...toka awali..so take my view ni kwamba kama na fundi ameshacheck..na kwa bei hiyo....then is chee...unalaumu tu...mie na compare na ukiitoa uko na usumbufu wote..huna mtu TRA...Energy unayotumia na muda mpaka inafika ni chee...So sio kunilaumu...pengine mie ni fundi who knows...ndio maana nimesema ni chee..au mie ndiye niliye weka hilo tangazo...kwa ID ingine!!
   
 8. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  toa details za kutosha kama,
  Odometer,CC ngapi, transmission, 3D au 5D, imeshushwa engine mara napi? Tairi kipara au kashata zipo.
  Halafu uweke na picha halisi za hiyo gari.
   
 9. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #9
  Feb 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wadau; kama nilivyoelezwa hapo awali kwamba "Nimedokezwa", sasa ilinibidi nifuatilie kwa karibu taarifa hii na kupata some photos.

  Aliyrnitaarifu mwanzao ali-confuse kwenye mwaka, gari hii ni ya mwaka 1997.

  Ambili: Odometer = 159845, CC = 1990, transmission = automatic, haijashushwa machine (haijawahi kutumika bongo), tairi safi.

  Nafikiri baadhi ya picha nilizozipata zinaweza kujibu maswali mengi.

  NB: Gari hili lipo Zanzibar.

  gari hizi ziko mbili zinazofanana, nyingine ina CC 1590
   

  Attached Files:

 10. c

  chamajani JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Picha na 'details' tumeziona so ni PM nimpigie fundi mmoja pale zenj aione-but it really worthy 6M na 1.3M ya wasumbufu TRA(in case ikivuka maji) tu siyo 12M kama anavyotaka/mnavyotaka. Otherwise usigeuze jukwaa hili kuwa la matangazo!
   
 11. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nimeku-PM unaweza kunipigia kwa mawasiliano zaidi.
   
 12. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280

  Dah kweli maisha bora kwa kila mtanzania. Wakati wengine wanapigania kupata mlo mmoja,wewe mkuu unaona milioni 12 ni bei chee a.k.a poa!
   
 13. Mutensa

  Mutensa JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2011
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 426
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mgombezi,
  Hiyo gari bado ipo?
   
 14. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #14
  Feb 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Gari bado ipo!
   
 15. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,472
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Labda 8m/=.....ODO 159,000? Halafu hizi zi zile za kuibiwa parts na vibaka kila uchwao?
   
 16. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kwa hiyo gari ya mwaka 1997 kwa milion 12 hapana,mmh
   
 17. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
 18. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hiyo saizi yake m6 hv bana. Kama vipi niishukie. NiPM tuongee biasahara
   
 19. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  We gari ya MWaka 1997 ukiagiza Japan hata 10m haifiki. Suzuki Japani bei rahisi mno. Hiyo 12.5m unaweza kupata Harrie au Lexus kabisa
   
 20. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mgombezi kama upo sema tuchukue mkoko. Nina m6 cash
   
Loading...