Maonesho ya utumishi wa Umma Mnazi mmoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maonesho ya utumishi wa Umma Mnazi mmoja

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mwalwisi, Jun 17, 2011.

 1. m

  mwalwisi Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakuu kwa aliye na muda na yupo DSM apite mnazi mmoja kuna maonesho, Taasisi nyingi za umma zinaonesha shughuli zao. Kwa wale wapenda kilimo na ufugaji ni mahali pazuri sana kupata habari za kilimo, mbegu bora na zana za kilimo. Ukipata nafasi pita it is very educative (kwa msisitizo) nimetokea pale muda huu
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Dar es Salaam? badala ya Mbeya!
   
Loading...