Unahitaji nini toka usa?

Tricker

Member
Nov 26, 2010
95
25
Mamboz?
Kwa kuzingatia hali halisi ya maisha ya watanzania yani uchumi ulivo na vipato vya watu je ni vitu gani mtu ukii-import from Marekani utapata soko hapa dar bila shida yoyote? either used or brand new
 
nadhani ni nguo za kiume na viatu ila tafuta mavazi ya mayankee, sio suits (those are better from france and italy). nguo nguo zile za gansta rappers. na wadada waletee weaves na human hairs nzuri. Cosmetics for black skins etc. pia leta mac products kama laptops, iPods, iPads, iPhones na accessories zake. sasa chagua mwenyewe field moja utaspecialise.
 
Usijisumbue mkuu. Niliuliza huko nyuma the same question na nikaambiwa bongo siku hizi kuna kila kitu.
 
Wewe ni noma thnx
 
Usijisumbue mkuu. Niliuliza huko nyuma the same question na nikaambiwa bongo siku hizi kuna kila kitu.

Ngoja nijaribu ukiwa na akili za hivo hutakuja fanya kitu maishani.This is nt the first time am doing trading na nimeshawai kukatishwa tamaa hivyohivyo bt nikapeta
 
Mamboz? Kwa kuzingatia hali halisi ya maisha ya watanzania yani uchumi ulivo na vipato vya watu je ni vitu gani mtu ukii-import from Marekani utapata soko hapa dar bila shida yoyote? either used or brand new
lete mtambo wa kuchakachua utapiga sana dili
 
mwanangu leta vitu vingi tu na peleka kule arusha na mwanza au dodoma utapata wateja kwa bei safi ila ukipeleka dar ni kweli kila kitu kipo pale sijui utaleta nini kipya ambacho hakipo, ila mi natafuta used ps3 console iwe na kila kitu chake bei isizidi $300 ni pm kama unakuja nayo
 
kuwa Mmoja wa washindani leta vitu kitu kinacho hitajika ni ubora tu sema vitu vingi vya Bongo vinatatizo la ubora japo kua kuna vitu kibao tu.
 
Nunua mpya tu ndo bei zake hizo wewe unaulizia used kwa bei ya mpya?
 
Hakuna jambo utafanya asitokee mtu wa kukukatisha tamaa ,kama umeamua fanya kila mtu na njia yake ya kutoka hata siku moja usiweke formula za A ukazihamishia kwa B Jaribu Tricker jiamini kwa maamuzi uliyofanya.

Ngoja nijaribu ukiwa na akili za hivo hutakuja fanya kitu maishani.This is nt the first time am doing trading na nimeshawai kukatishwa tamaa hivyohivyo bt nikapeta
 
kuwa Mmoja wa washindani leta vitu kitu kinacho hitajika ni ubora tu sema vitu vingi vya Bongo vinatatizo la ubora japo kua kuna vitu kibao tu.

Amigo, kwa hiyo una-suggest kuwa vitu vingi vilivyopo bongo ni mafeki? TBS haivikagui?
 
mwanangu leta vitu vingi tu na peleka kule arusha na mwanza au dodoma utapata wateja kwa bei safi ila ukipeleka dar ni kweli kila kitu kipo pale sijui utaleta nini kipya ambacho hakipo, ila mi natafuta used ps3 console iwe na kila kitu chake bei isizidi $300 ni pm kama unakuja nayo

Let me check will b back
 
Kaka utaipata lakini kwa $350,vp upo tayari?
 
Back
Top Bottom