Mbolea,sukari na Portland cement | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbolea,sukari na Portland cement

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kassamali, Jun 16, 2011.

 1. k

  kassamali JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  jamani wadau natumaini nyote ni wazima wa bukheri jamani naombeni msaada wenu wa mtu yoyote anayejua importer wa Mbolea au cement au sukari ambaye anaimport kuanzia tani 10000 na kuendelea kwa mwezi ili kuongea naye biashara atakeyeweza kufanikisha basi tutamfikiria kwa kamishina au kwa mtu anayeweza kunionganisha na serikali kwa ajili ya kusuply kwa bei nzuri nayo itakuwa si mbaya .Asante
   
 2. I

  IGO Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu sijaelewa hasa lengo lako ni nini kununua au kuuza
   
 3. k

  kassamali JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kuuza mkuu
   
 4. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wewe uko nchi gani?
   
 5. k

  kassamali JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mzee kwa kifupi kuna makampuni mengi yanaagiza bidhaa kama hizo kutoka nje ya chi lengo langu ni kuwa suplier wao ila kwa bei nzuri labda kuliko ile wanayoagaizia ni hilo tu mzee
   
 6. k

  kassamali JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi nipo maeneo ya Urusi sehemu ambapo mbole kama chemical zinazalishwa kwa kiwango cha juu sana na kwa bei nzuri kama ukiwa mwenyeji ila kwa issue kama sukari mimi nina uzoefu mkubwa na manufactures wa Bazir ambapo naweza kupata kwa bei nzuri kuliko kama mtu mwingine angeingia kichwa kichwa
   
 7. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo wewe ni mfanyabiashara au broker?.. na huo uzoefu wako na wafanyabiashara wa "Bazir" uliupataje? au uliupatia wapi?
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sasa si utaua soko la bidha za apa nchini as aresult kaka zako na dada zako watakula nyasi!ila kwa kuwa serikali yenyewe haiko serious unaweza proceed
   
 9. k

  kassamali JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu nakuelewa baba ila mimi si mnyama kiasi hicho ni mzalendo sana na nchi yangu je wewe unalionaje hili wakati serikali inanunua mbolea mfano kwa dola 470 CIF Dar es salaam ambapo kwanza wameuziwa bei ya juu na watu kibao wamekula pesa na wakati huo huo mbolea itamfikia mkulima kwa shillingi elfu 80 kwa mfuko wa kilo 50 wakati mimi naleta bidhaa ile ile yenye kiwango kile kile kwa dola 270 kwa tani CIF Dar es salaam na wakati huo huo mkulima wetu kule kijijini atanunua mfuko kwa shillingi 20000 Je nani muuaji wa uchumi wa nchi wa kaka ambapo kama binadamu hapo nitatengezeza faida dola 2 tu
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kwa mbolea sawa ila cement na sukali tuna viwanda vya kutosha.
   
Loading...