Airtel System Information yenu ni Mbovu mbovu kabisa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel System Information yenu ni Mbovu mbovu kabisa!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by GAZETI, Jun 16, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,525
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Sikutegemea kwa kampuni kubwa kama Airtel kuwa wazembe na wasumbufu namna hii. Unapopiga simu kutaka kurenew Line unaambiwa nunua Line mpya halafu hakikisha una kitambulisho chako ulichosajilia simu au namba tano za watu uliowapigia mara ya mwisho au kasha la line iliyopotea au kuibiwa. Kama unavyo vitu hivyo piga 0 ili kupata msaada kutoka huduma kwa wateja au nenda kwa mawakala wetu. Ukipiga sasa hiyo sifuri unaambiwa uende tena kwa mawakala hata ukiwaomba vipi hawakubali! Jamani Airtel huu ni usumbufu na kibiashara mmefeli kusatisfy mahitaji ya wateja wenu. Si ustaarabu kwa kampuni kubwa kama hiyo kufanya ujinga huo unaoendelea, Hebu fanyeni mambo kisomi!
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utaumiza kichwa na kampuni zisizokuwa na good customer care.....wao hawajali wateja wao ila wanajali pesa zao tu mbona matatizo hayo yapo mitandao yote tu ila yanazidiana kwa kiasi fulani tu. Mi nafikiri bado kunahitajika ushindani zaidi wa makampuni ya simu Tanzania na hapo heshima itwakuwepo. TTCL linakaribia kujifia kwa upuuzi kama huo wa Airtel...
   
 3. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ndg
  Usipende kulalamika kila kitu, sheria TCRA lazima kila mwenye simu atambulike particulars zake.
  Sasa watakusajiri vipi bila kufika ofisini kwao?. Lalamika mengine lakini hili liko hivo kwa kampuni zote.
  Acha kulalamika fanya sehemu yako
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Hii mpya yani ukipiga 0 unaweza kuonyesha kitambulisho chako au kasha la line iliyopotea au kuibiwa
   
 5. Rocket

  Rocket Senior Member

  #5
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hamna usumbufu hapa ni utaratibu wa kazi
   
Loading...