Vituko vya gazeti la uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vituko vya gazeti la uhuru

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by DOMA, Jun 19, 2011.

 1. D

  DOMA JF-Expert Member

  #1
  Jun 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  kuna wakati najiuliza hivi kuna msomaji kweli wa gazeti hili? na je hivi kuna mnunuzi kweli wa gazeti hili na je tangia chadema iwe tumaini la watanzania hivi limeahi kupata faida? naomba maoni yenu wadau
   
 2. K

  Kilongayena Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Limeanza kuchapishwa rasmi lini? na linatoka kwa wiki mara ngapi ? tujuze mdau
   
 3. Rocket

  Rocket Senior Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  utalipata kwenye ofisi zote za serikali na ndo wateja wao wakubwa
   
Loading...