China Geo Engineering Copration,Inachowafanyia Watanzania ktk malipo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

China Geo Engineering Copration,Inachowafanyia Watanzania ktk malipo.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by LiverpoolFC, Jun 18, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kuna hiyo Kampuni ya China inayotengeneza barabara ya kt ya Arusha mjini mpk Namanga. Na bila shaka WanaJF mmepata kusikia na hata si ajabu wengine mmepata kupita na kuona kazi inavyotendeka. Na ktk ina wa2mishi kibao Watanzania wenze2 walioanza kazi pale tangu ukarabati ilivyoanza mwaka 2007 mpk leo inakaribia kukamilika 2011 wapo ndani ya CGC,Na km mnavyokumbuka ufunguzi ilifanya kibabu kubwa na viongozi wakuu wa nchi zote za East Africa na ilifana kweli km mnakumbuka WanaJF, Cha kunishangaza sana! Swali! Ni kwmb mbona wafanyakazi wa pale hawapewi malipo yaliyo na maslahi sawa na kazi waitendayo? Nilipata kumwona Waziri Mkuu ktk ujio wake akalalamikiwa na wafanyakazi wa hapo ktk ziara yake ya ukaguzi ya kwmb hapa ha2na malipo yoyote 2nayopewa zaidi ya mshiko wa gagari wa mwisho wa mwezi na akaahidi atalitendea kazi mpk na leo? Karibia Wachina wanamaliza ziara yao wapeleke mabilioni ya fedha huko kwao wakati wabongo 2meachwa bila chochote cha kusema hata kazi hii ikimalizika nina chochote cha kupata kama kinua mgongo toka ktk kazi yote niliyofanya. Je? Kitengo husika hakuna ya kutetea Ndg ze2 wanaofanya kz pale? WANAJf! NI MAWAZO YANGU TU,Nawakilisha na twendeni pamoja. Asanteni!
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio China mnayoisifia kila siku. dhuluma kibao, barabara zenyewe zinaumuka kila siku kama zimewekwa hamira.
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Best! Hv umepita karibu ama ni kwamba unajua ni tabia yao tu kwa ulipuaji. Hakika kutokana ninavyoona malori ya Kenya inavyosomba Gas matani kwa matani na ndiyo njia yenyewe ndiyo hiyo nawambia hata mwaka moja hautamalizika serikali tawala itamtafuta Hari Sing aanze naye ukarabati. Na hiyo yote ni maombi ya Ndg ze2 wanaotokwa na jasho na bila ya malipo toshelezi na ukijumlisha na UCHAKACHUAJI wa Kichina.
   
 4. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Mie kwa kweli hua nashangaa malalamiko mengine. Ukiona hupati unachotaka si unaacha kazi, kwani unashikiwa bunduki ama wewe ndo unaenda kuomba kazi na kukubali terms zao.
   
 5. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  lakini Best? Si kuna haja ya Idara husika kuwajua hawa wafanyakazi ya kwamba wako pale na kuwajali ama kuwatetea ktk malipo? Ama hilo halifai? Idara ya kazi lengo lake kuanzishwa serikalini ni nini haswa?
   
 6. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #6
  Jun 19, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,130
  Trophy Points: 280
  fahamu hili, chama cha kikomonist cha china ni wafadhili wakubwa mno wa ccm, so makampuni ya china huku tz hayawezi fanywa chochote, hata hizi tenda wanazo pewa ni fadhila. Hata wamachinga wa kichina pale kariakoo hawawezi fanywa chochote.
   
 7. E

  Engineermsuya Member

  #7
  Jun 19, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kawaida huku ughaibuni lami huwa ina utunzaji wake... kipindi cha summer gari linapita kumwagia maji ili ipate kudumu...!! bongo hata akija mjerumani kutengeza barabara zitaaribika tu! kuhusu mishahara midogo sina la kuongezea ila wachina wameshazzoea cheap labors kule kwao... mkomunist yupo radhi alipwe vijisent as long analitumikia taifa
   
Loading...