Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub.
Nianze na nini na nini?
Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na...
Natumia muda wangu mwingi sana ONLINE. Moja Kati ya conversation kubwa ni Washkaji wanasemaga ukitaka kutoboa lazima utatue tatizo, Wengine wanaamini zaidi kuwa unalipwa kulingana na TATIZO...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm nina noah new model kutokana na shida za usafiri mara nyingi huwa napakia vichwa(abiria) pale Magufuli na kuruka mkoani chapu nakurudi ila sijui ikitokea...
RAIS SAMIA AWAPA STAMICO LESENI KUBWA YA UCHIMBAJI MADINI YA NIKELI KATIKA ENEO LA NTAKA NACHINGWEA-LINDI
▪️Ni hatua ya kuiimarisha STAMICO kiuchumi
▪️Aelekeza Wachimbaji wadogo kupewa leseni za...
Una mtaji wa laki 2 mpaka million 2?
Hizi ni biashara ambazo unaweza ukafanya na zikakupa uhakika wa faida ya TSH 30,000_ laki kwa siku(1_3M kwa mwezi)
Wakati mwingine biashara nzuri sio Ile...
Unataka biashara yako itambulike kisheria, iaminike na ufanye biashara yako bila wasiwasi? Basi LESENI YA BIASHARA ni kitu cha lazima kwa mafanikio yako!
Na kwa sasa TUNAKUPA OFA YA KUPATA...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Kwa anayefahamu bei ya jumla ya MANANASI na MACHUNGWA kutoka kwa wakulima wa KIWANGWA- CHALINZE naomba anijuze.
Natanguliza shukrani 🙏🏽🙏🏽
Wapendwa wana jf mara yangu ya mwisho kutembelea jijini dar ilikuwa 2013, baada ya kustaafu ningependa kwenda kuosha macho na kurelax kidogo baada ya ajira kukoma...
Kuna watu kibao humu JF walituasa kwamba Forex ni utapeli hilo kwanza napingana nalo kwa nguvu zote sababu sio kweli kwamba forex ni utapeli kabla sijafunguka mengine niwathibitishie...
kufunga mauzo (closing sales) ni hatua nyeti sana. Unaweza ukawa umewekeza muda, pesa na nguvu nyingi kutangaza, lakini kosa dogo kwenye hatua ya mwisho likakugharimu kila kitu. Hii ndiyo sababu...
Heshima kuu ziwafikie Wadau..
Katika biashara ambazo kukweli naona zina pesa ndefu na ikiwa moja ya biashara ya ndoto yangu pia moja wapo ni hii ya kuendesha kituo cha kuuza mafuta (PETROL/GAS...
Wakuu nimeamua kuthubutu. Nataka kuanzisha kituo cha kuuzia mafuta (petrol & diesel). Ninapanga kuanza na na pampu mbili tu. Je ni mambo yapi ya msingi ninayopaswa kuzingatia ili kuanzisha kituo...
Wadau wenye kufahamu.
Je katika kuanzisha Fuel filling station kubwa maeneo ya mjini kama Dar es salaam, Je kuna kigezo cha umbali kati kituo kimoja cha mafuta kwenda kingine vilivyo upande mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.